Mwalimu Nyrere honoured at the United Nations

Mwalimu Nyrere honoured at the United Nations

Nyerere anasimama katika jukwaa la peke yake; dunia ya wasomi ambao wamechukua muda kumsoma na kumwelewa wameweza kutambua kuwa uwezo wake wa kiakili na kimaono ulikuwa mbali mno kulinganisha na watawala wengine wa zama zake. He was not only a genius but a true genius was he. Hata wale ambao leo wanapata umaarufu kwa sababu wamesimama kwenye mabega yake wao pia wanaweza kumpuuzia tu na kumkebehi huku wakiwa mabegani mwake. Bila ya yeye wasingeweza kuwepo mahali pa kusimama.
 
51WA8UP7%2B2L._.jpg


The founding father of the United Republic of Tanzania, the late Julius Kambarage Nyerere, popularly known as "Mwalimu," was honoured at the United Nations this week. The Permanent Mission of Tanzania to the United Nations organized the commemoration of Mwalimu Nyerere Day on 14 October. The event coincided with the launch of a book titled "Julius Nyerere: Africa's Titan on a Global Stage: Perspectives from Arusha to Obama."

It has been co-edited by Profesor Ali Mazrui, an Albert Schweitzer Professor in the Humanities/Professor in Political Science, African Studies and Philosophy, Interpretation and Culture of Binghamton University in New York and Prof. Lindah Mhando, a Tanzanian Professor of African and African American, and Women Studies at Duke University in North Carolina. UNRadio: Founding father of Tanzania honoured at United Nations



Kwa wale wanaotaka kukisoma hicho kitabu kinapatikana Amazon: Julius Nyerere, Africa's Titan on a Global Stage: Perspectives from Arusha to Obama (Carolina Academic Press African World): Ali A. Mazrui, Lindah L. Mhando: 9781611630855: Amazon.com: Books

Table of Contents

Chapter 1. Introduction
Chapter 2. Post-Tribal Nyerere to Post-Racial Obama: Comparative Vision in Political Leadership
Chapter 3. Nyerere, African Politics And I
Chapter 4. The Mwalimu: Method and Mission
Chapter 5. Tanzaphilia: A Political Diagnosi
Chapter 6. Ujamaa Vijijini: Geo-Political Rural Development
Chapter 7. Of Religion, Modernity, and Politics
Chapter 8. Post-Ujamaa: Women, Patriarchy, and Economic Liberalization
Chapter 9. Tanzania as a Case of Heroic Failure: Socialist Effort and Moral Decline
Chapter 10. Of Five Loaves and Two Fishes: Tanzania, Immigration and the Refugee Crisis
Chapter 11. Tanzania versus East Africa: A Case of Unwitting Federal Sabotage
Chapter 12. On Poets and Politicians: Obote's Milton and Nyerere's Shakespeare
Chapter 13. Racial Self-Reliance and Cultural Dependency: Nyerere and Amin in Comparative Perspective
Chapter 14. From Slave Ship to Space Ship: Africa Between Marginalization and Globalization
Chapter 15. Comparative Black Leadership: Walter Rodney, Julius K.Nyerere and Martin Luther King, Jr
Chapter 16. Nationalists and Statesmen: From Nkrumah and de Gaulle to Nyerere and Kissinger
Chapter 17. The Left and the Super-Left in Tanzania
Chapter 18. Socialism as a Mode of International Protest: The Case of Tanzania
Chapter 19. Tanzania Today and the Road to Global World
Conclusion. Tanzania in Comparative Perspective: A Political Experiment in a Cultural Laboratory
weee poyoyo kumbe una akili??
 
Wamejiandalia wenyewe au hawakujiandalia?!

Kahawa si lazima inywewe na kashata! unaweza kuinywa na donuts, cornetto, muffin cakes n.k
na unaweza kuipata Waynes Coffee,Starbucks au hata Mcdonald.
Yeah, hata kwenye local pubs too...
 
I think MWL NYERERE DESERVES MORE THAN THAT.
 
All will pass, but the truth will remain. NYERERE IS THE BEST LEADER EVER OCCURED IN AFRICA. Wanaobisha ni ambao hawaijui historia ya MWALIMU.
 
All will pass, but the truth will remain. NYERERE IS THE BEST LEADER EVER OCCURED IN AFRICA. Wanaobisha ni ambao hawaijui historia ya MWALIMU.
Wapo watakaokwambia Nkrumah,Sselasie,Sankara,Murtala kuna hata waliomlilia Ghadafi na kusema kuwa was the best leader in Afrika.

Point ni kuwa ukisema maneno kama hayo inabidi ulete na uthibitisho, vinginevyo ni ya kutupwa kwenye takataka tu.
 
Nyerere haters mnapoteza muda wenu bure, Nyerere level nyingine ndo maana wazee wenye busara wa kiislamu walimkubali wakamkabidhi mikoba ya kuongoza mapambano ya kudai uhuru.
 
Nyerere lives and will never die. He is here with us. If you do good you keep living even when you die....what makes him alive in the spiritual world is what he did for this country. Cursed are all who say negative things about Mwalimu Nyerere. Viva Nyerere.

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Nyerere lives and will never die. He is here with us. If you do good you keep living even when you die....what makes him alive in the spiritual world is what he did for this country.
Aliifanyia kitu gani?
 
Back
Top Bottom