Genekai
R I P
- Feb 9, 2010
- 12,517
- 4,987
Natumaini mnaendelea vizuri.
Nina shida ya kutaka kujua falsafa ya hayati baba wa taifa kuhusu uongozi. Katika darasa ninalosoma (MBA) yaani Master of business Administration tumepewa assignments kutoka kwenye Unit ya leadership and personal skills development na bahati mbaya au nzuri mi ndo mtanzania pekee darasani kwangu so nimeambiwa niandae presentation juu ya Mwalimu nyerere's philosophy on leadership.
Nimekuwa nikigoogle ninapata historia ya maisha yake na jinsi alivyokuwa mwadilifu katika uongozi wake, jinsi alivyohubiri na kuuishi ujamaa na jinsi alivyokuwa tayari kung'atuka bila shida lakini hasa msimamo wake kwa uongozi na mafundisho yake sijayapata hasa.
Naomba msaada wenu. Wengine darasani wamepewa other great leaders kama Mandera, Ghandhi na wengine. Natumaini nitasaidiwa ili niweze kuorganize mambo!