NO.even the most evil ruler on Earth will change to Good if you keep on insisting on your rights.
It's hard to dismiss/ignore.Jamaa ni philosophy anatumia gangachuma language but yuko really mm ni fans wake I admit. sijawahi kushobokea watu but really like this man interested with crystal language lugha ngumu ni tamu I like it
ALaa!Hii rock crystal sidhani kama nimeitafsiri sawa.
Kwa sababu ulanga ni kitu ambachi kinanyofoka,kinabanduka.
Lakini rock crystal ni jiwe.
How do you rate Julius Kambarage leadership and legacy in comparison to all six?Hakuna kibaka atanidhuru kwa sababu nimemwita kibaka.
Kama hataki nimwite kibaka aache kuwa kibaka.
Commander Hatonn anasema let us work according to the laws of God and the laws of the politicians.
Anasema even the most evil ruler on Earth will change to Good if you keep on insisting on your rights.
Sasa nakuomba urudi kule juu kwenye kichwa cha mada hii:It is strange.
Huyu mlinzi anayeniambia,"We,njoo hapa upate fundisho,njoo hapa sasa hivi upate fundisho ,Kwa nini unaogopa,njoo hapa,kama we mbabe. Njoo hapa nikupe fundisho.
Huyu mlinzi anayezungumza hivyo anazo one BILLION shillings kwenye bank account yake.
Unaelewa sasa kwa nini hawa watu wanashtakiwa ICC.
Ni watu wa ovyo .
Na sasa hivi hakuna haja ya kuuliza yuko wapi.
Kwa sababu yuko benki ana cash hela zake. Leo kapata bingo.
Kwa sababu huyu ni mtu ambaye kila baada ya miezi mitatu anashinda bahati nasibu ya taifa
The only danger I see with that "archive"...;, you guess what I mean.Asante kwa simulizi hii ya Bibi Mugaya, haya ndio mambo mimi ninayomtafutia Madaraka, to preserve some rhetorics za Mwalimu za fashion simulizi ziwe digitized for preservation kwa vizazi vijavyo.
It's good to know watoto wa Mwalimu ,baba na mama ni kabila moja halafu bado watoto hawajui kuongea kiluga chao!.
P
Hii ya kwako imekufikisha wapi hadi sasa!Mwalimu hakua na foresight kwa hakika..yule mzee amelifelisha sanaa taifa kwa sera zake za ujamaa na siasa za kuogopa dola
PumbaHii ya kwako imekufikisha wapi hadi sasa!
Hivi unajuwa maana ya 'foresight' ni nini?
Sera za "Ujamaa" ndiyo kukosa 'foresight?
Na hao viongozi woote waliofuatia hadi sasa, hizo 'foresight' zao zimekufikisha wapi wewe? Kwa nini kukosa 'foresght' kwa Mwalimu Nyerere ndiko ku'override' foresight' za hao viongozi wengine wote waliofuatia baada ya yeye?
"Mwalimu Nyerere hakuwa na foresight", au unamaana 'foresight aliyokuwa nayo haikuwa sahihi kwa maoni uliyowasilisha wewe, ambayo mimi sikubaliani nayo.
Nilipojibu andiko lako hapo nilijuwa vyema jinsi akili yako inavyoendana na jina lako.Pumba
accuracy ya fasihi simulizi has always been the issue since time immemorial, lengo langu ni just preservation ya simulizi kumhusu Mwalimu as a father, husband, uncle, babu, etc, kisha kuzi digitize into digital format zije zisikilizwe na vizazi vijavyo, katika kipindi chote cha utawala wake wa miaka 21, ni mwandishi mmoja tuu Mohamed Mlamali Adam alimfanyia Nyerere aliandika kuhusu Public & Private Nyerere, but very little is know kuhusu maisha yake kama baba wa familia, mume, mjomba, babu, etc.The only danger I see with that "archive"...;, you guess what I mean.
Hard to believe the accuracy of that collection.
Itakuwa haina tofauti sana, ila itakuwa tofauti kwasababu kipaji cha usimulizi wa Mkuu Maalim Mohamed Said ni uwezo mkubwa sana, na ameisha andika sana, wakati mimi kwa upande wangu ni mtangazaji tuu, kuandika nimejifunzia humu jf.Sijui kama itakuwa na tofauti kubwa sana na ile ya Kariakoo,kwa Mzee Said na mababu zake.
You obviously missed my point here.Itakuwa haina tofauti sana, ila itakuwa tofauti kwasababu kipaji cha usimulizi wa Mkuu Maalim @Mohamed Said ni uwezo mkubwa sana, na ameisha andika sana, wakati mimi kwa upande wangu ni mtangazaji tuu, kuandika nimejifunzia humu jf.
No, mimi siongezi chumvi yoyote, mimi nafanya tuu preservation ya masimulizi, wakati Mkuu Maalim Mohamed Said was a man in a mission kurekebisha dhulma kubwa waliofanyiwa Babu zake na baba zake, waliotoa mchango mkubwa kwenye kupigania uhuru wa Tanganyika, lakini mchango wao haukuthaminiwa, ila kiukweli maandishi yake, yamesaidia sana! Kwa Simulizi za Mwana JF, Maalim Mohammed Said, Sio Mtu wa Kubezwa, Mengine ni Ukweli Mchungu!, Ila Pia Sio Mtu wa Kupuuzwa!You obviously missed my point here.
Ujuzi wa "kuongeza chumvi" kunogesha ulaji wakati radha ya chakula chenyewe ikibadilika. Huo ndio uwezo wa huyo Maalim, niliojaribu kuunganisha pamoja na hiyo ya kwako.
Kama hutaongeza chumvi kwa maonjo yako mwenyewe, hapo sioni tatizo.
Yaani nasema kama anazo one billion hapaswi depressed na kugombana na watu.Kuwa na One Billion Shillings huwezi shtakiwa ICC.
Tuna mahakama za mafisadi hapa Tanzania.
Na atashtakiwa kama kweli kuna kosa kafanya.
Huyu mwamba ni balaa. Anaandika vitu visivyoeleweka 10000 halafu katikati yake anaweka bonge la issue. Juzi alileta hoja ya msingi hapa, alisukumwa au aliruka? Jana mmeyasikia ya urojoni. Endeleni. Kumchukulia poa.Ila mimi simpuuzi huyu mtu, kuna code katoa nabaki nayo. Hapo kwenye unabii.
Crystal ni madini yoyote ya vito, ambayo yamejipanga kwa strata, hata ulanga ni crystal, hata chumvi ya mawe , chumvi na sukari ni crystal, hata stalactites na stalagmites ni crystals, kwa sisi watu wa meditation, crystals zinatumika for holistic and wellness for meditation na japo vito vingi hutumika as decorative items lakini pia huleta positive energy vikitumiwa vizuri na majanga vikitumiwa vibaya!, mimi wakati naoa nikiwa kijana na jeuri ya pesa, nikamvisha mtu engegment ring ya diamond, masikini mimi sikujua kuwa kumbe sio kila mtu anajivalia tuu diamonds kwasababu anaweza ku afford, akivaa diamond, ni majanga!.Siyo ulanga.
Crystal inaweza kuwa glass lakini ni rock.
Sasa Ndugu Mayala kama.unatuonya tusimuamini kila asemacho, kwanini wewe umemuamini anaposema "watoto hawajui kizanaki?"Usiamini kila kitu asemacho huyu kaka yetu mkubwa, hata mimi hapa juzi kati, alinituhumu eti nimemtishia kumu arrest,
Hali ilikuwa hivi
Poppy Poppy Hatonn
kwa vile wewe mimi nakujua, na naijua hali yako, lengo la mimi kukutafuta ni kukusaidia tuu
Haya nimeyasemea wapi?
Mimi ni nani na kwa uwezo gani kuwaonya The First Family most respected in Tanzania?
Yaani mimi ni chombo cha dola au mamlaka to arrest?
hatimaye lile bandiko mode wakaliona na kumsaidia kaka yetu!, kiukweli JF modes wanasaidia sana!.
P
Kuna vitu ni vya kawaida sana anavisema ni vya kweli, lakini kuna vingine sii vya kweli ni imagination vyenye illusion na hallucinations, hivyo unatumia to commonsense logic kupima vitu vipi ni facts na vipi ni falacies.Sasa Ndugu Mayala kama.unatuonya tusimuamini kila asemacho, kwanini wewe umemuamini anaposema "watoto hawajui kizanaki?"