Mwalimu Nyerere kwanini alichagua Twiga? Ni Mnyama dhaifu sana!

Ant Nyerere kazini

Twiga ni mnyama mzalendo,mpole,mwenye hekima,asiemwonevu mwenye kupenda haki,mtetevu wa wanyonge hasa wanyama wadogo,

Twiga ni Tunu yetu

Tuendelee kumuunga mkono
 
Shida siku hizi mpk kuna mpk masimba mashoga,bora tubaki na twiga wetu tu wao bado hawajapata kashfa.

Au kama vp tumtumie NYEGERE kama nembo ya Taifa.
Mkuu mng'ato ... naona unanipendekeza niwe nembo ya Taifa! .... unajua balaa letu lakini sisi kina Honey Badger aka nyegere?

Honey-Badger-and-lions.jpg
 
Ujïnga mtupu hakuna logic hata kidogo zaid ya hoja mfu kutoka kwa shabiki la jaribio la kumuua Lissu. Bichwa lako na ķilichomo ni simba ndo mana unafurahia kumwaga damu za watu
Aisee kwa hii comment yako mjinga umekuwa wewe sasa..kweli mjinga hajijui
 
Tungechagua faru. Huyu mnyama mkorofi sana.Ukorofi mpaka kwenye moto anakojolea na kuukanyaga basi tu ilimradi aonekane mbabe peke yake.
 
Alikuwa na maana nzuri Twiga ni mrefu kuliko wanyama wote anaona mbali na hatari za mbele.
Na ndio maana porini Twiga akihamaki na kuanza kukimbia wanyama wengine kama nyumbu na pundamilia wanamfuata wanajua kuna hatari inakuja mfano simba niliona hii Mikumi.
Sasa Nyerere alikuwa na maono ya mbali mno kabla hayajatokea.Na ndio maana kuna mambo alituasa kuhusu ukabila na udini taratibu yanaanza kujitokeza.
Alituasa kuhusu hatari ya kutawaliwa na mabeberu kifikra japo tuko huru.Hii tunaona jinsi mataifa makubwa yanavyojaribu kupangia nchi changa cha kufanya mfano kutufundisha demokrasia mfano mwingine kulazimishwa kukubali mapenzi ya jinsia moja.
RIP Mzee NyerereView attachment 1251372
Kwa akili zako hata democracy hutaki !!. Masikini Tz
 
Kimsingi sijakubaliana na hoja yako.Kwa kutolea mfano nchi kama Uganda wamamtumia crane kama symbol yao.Haimaanishi ni dhaifu bali ni kwamba wanapatikana sana nchini mwao.Ukifika Uganda ni lazima ukutane na Crane.Ndio maana timu yao ya taifa inaitwa Uganda cranes.Kwenye bendera yao pia yupo etc

China wanaye panda kutokana na kupatikana pekee huko kwao.

Kuhusu twiga ni kwamba ni mnyama mzuri,mpenda amani,anajali wanyama wengine na anapatikana kwa wingi Tanzania and etc.So for me is a good choice kama symbol ya taifa.
 
Kimsingi sijakubaliana na hoja yako.Kwa kutolea mfano nchi kama Uganda wamamtumia crane kama symbol yao.Haimaanishi ni dhaifu bali ni kwamba wanapatikana sana nchini mwao.Ukifika Uganda ni lazima ukutane na Crane.Ndio maana timu yao ya taifa inaitwa Uganda cranes.Kwenye bendera yao pia yupo etc

China wanaye panda kutokana na kupatikana pekee huko kwao.

Kuhusu twiga ni kwamba ni mnyama mzuri,mpenda amani,anajali wanyama wengine na anapatikana kwa wingi Tanzania and etc.So for me is a good choice kama symbol ya taifa.


China ni Dragon, na hii ni kihistoria huyo Panda ni wa juzi tu shauri ya udiplomasia, kuhusu Uganda sijui zaidi.
 
Nijuavyo mimi Dunia nzima Kihistoria nchi zimekuwa zikichagua Wanyama kama alama inayowawakilisha, yaani unaweza kusema mnyama wa nchi, na wengi hapa huchagua mnyama mwenye sifa ya UKUU na UTAWALA, ndo maana nchi nyingi kubwa kama Ujerumani, USA, na Falme nyingi kubwa Duniani wamekuwa wakichagua ndege Tai, huyu ana sifa za ajabu kama nguvu, uvumilivu, ufanisi na pia mwendo mkali kwa kifupi anatawala anga, kwanza wanasema Tai ana wa kuishi mpaka miaka 70, huku kwetu kwa nini hatukuchagua Simba? Huyu Twiga ana nini? Twiga ni alama ya Udhaifu, na hakupaswa kuwa alama ya kutuwakilisha.

Simba ndo Mfalme na mwamba Nyika, hata kwenye Biblia na vitabu vingine vitakatifu sijaona mahali Twiga akitajwa isipokuwa Simba au Ndege Tai, ...

Mfalme wa Anga Tai- USA, Ujerumani na Falme kubwa Duniani!

View attachment 1251330

Urusi brown bear.

View attachment 1251332

Huyu ndo alifaa awe alama yetu, Simba Mfalme wa Nyika na siyo huyo twiga wenu, kwanza analiwa na Simba!
View attachment 1251335


Alikosea sana kufanya Twiga kuwa nembo ya taifa, ilitakiwa iwe Kondoo.🐏🐏
 
Kwani kubeba mimba kuna kosa lipi ikiwa huyo ni mamalia? Mbona tunaelezwa kuwa malkia wa Ungereza ana watoto pia?
Umechunguza kwa karibu sifa zote za twiga?? Madhaifu ya Tai je?? Ya Simba je?? Hujiulizi kwanini Simba jike ndiyo anasifiwa ni hatari linapokuja suala la kuwinda ajabu bado anabeba mimba??
Eba
 
Back
Top Bottom