Hahaha sikupatii picha na miguo yako ya kijani...T/Shirt kwapa ipo magotini......Eewwww
Kwa kipindi kama cha mwaka mmoja nilitesa sana na miguo. Matokeo ya darasani yalipoanza kuporomoka, mzee aliingilia kati na kunipiga stop.
Mzee katuharibia bure, pengine sasa ungekuwa ndo Mwigilu Nchemba wetu :whistle:
jamani fikiria japo kidogo tu, utaona kwamba hiyo picha imechakachuliwa, ni wapi hayati mwl, Mwinyi, Ben na Kikwete walikaa kwenye Kochi moja? mtazamo wa hiyo picha imanaanisha ilipigwa siko moja? sasa ebu julizi ni lini?
habari wakuu?
Katika tizama yangu kwenye media na hata picha mbalimbali za baba wa taifa, sijawahi kubahatika kumuona katika nguo yenye rangi ya ccm, maarufu kama ''gunya''. Na pengine wachambuzi wa mambo mnaweza kutusaidia ni kwa nini ndugu mwl.nyerere hakupenda kupigilia vazi hili, ambalo naona wanafiki wamekuwa wakilitumia kama ni alama ya mapenzi ya chama chao.
tulijadii hili
Alishawahi kusema - CCM SIO MAMA YANGU! R.I.P MwalimuNimejiuliza sana nikashindwa kuelewa, ni kwanini nyerere hakuwah kuvaa nguo ya ccm au hakuwa mwana ccm?
Karibu kwa maoni
mmenistua! Hapo kuna kitu , mwl alikua einstein hakosei, kama kweli hajawahi kuvaa kuna siri nzito!
View attachment 71888
Angalia muziki wa Nyerere...mwasisi wa gwanda asilia! Hapa alikuwa kwenye foleni ya msosi Mafinga JKT mwaka 1968. Uliza jingine!!!