Gwankaja Gwakilingo
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 1,996
- 618
Kuna uvumi (binafsi naziita propaganda) kuwa Mjumbe wa Bunge Maalum na Wakili Msomi mwenzangu Tundu A.M.Lissu 'amemtukana' Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. 'Matusi' husika yanadaiwa kuporomoshwa na Tundu Lissu alipokuwa akiwasilisha Maoni ya Wachache katika Kamati Nambari Nne ya Bunge.
Inasemwa kuwa Tundu Lissu amemtukana na kumdhalilisha Baba wa Taifa. Propaganda hizi zinazosambaa haraka na kwa kishindo zimemkumba hadi Mzee Edwin Mtei ambaye ni Mwenyekiti wa kwanza wa CHADEMA. Nikumbukacho ni kuwa Lissu alipokuwa akitetea na kufafanua Maoni ya Wachache,alitoa mifano minne akiwataja watu mbalimbali wakiwemo Mwalimu Nyerere,Profesa Issa Ghulamhussein Shivji na Dr.Harrison Mwakyembe.
Kwanza,tufahamishane hasa matusi yaliyoporomoshwa na Wakili Lissu dhidi ya Mwalimu Nyerere. Tukiyajua na kutambua kuwa ni matusi na dharau kweli,tuungane kumkemea Wakili Lissu na kumuonya asirudie tena. Karibuni tutaje matusi au dharau za Wakili Tundu Lissu kwa Mwalimu Nyerere. Halafu,kwanini wengine waliotajwa hawaonekani kama wametukanwa au kudhalilishwa?
Kwa hiyo kama alidanganya asiitwe mwongo kisa.
Ndipo tunapokosa direction kama taifa iwapo sifa ya kisiasa ni kumwaga matusi tu.
mkuu big up sana mkuu,nawashangaa sana ccm jk alipokuwa hai hawakutimiza wala kuyaishi yale sahihi aliyosema..walisema yamepitwa na wakati,leo ni marehemu wanajifanya kumtumia kama nukuu za biblia,wanafiki hawa tulione hili...wanatafuta tonge tunamkubali sana nyerere, lakini hiyo haitamaanisha kuwa pale alipokosea iwe dhambi kumkosoa! Naungana na mtoa mada: Kama tumeshindwa kutaja makosa ya tundu lissu, kama tumeshindwa kuyataja matusi aliyo tukana, basi tukae kimya. Nilichokiona mimi ni mtu kukosolewa alipokosea na mkosoaji alikuwa sahihi!
Anayetaka kueleweka aje na hoja yenye ushahidi kwamba aliyosema lissu siyo kweli na hayakusemwa na mwalimu, hayakufanywa na mwalimu na hayakuandikwa na mwalimu!
Napenda kusisitiza, ni katika jamii ya wendawazimu na wasanii wa kisiasa tu, ambapo watu watajidai kupenda kujali na kumtetea marehemu, huku tukishindwa kuwaheshimu wazee wetu walio hai kama kina mzee warioba, kina mzee aboud jumbe na wengineo. Halafu tusubiri mpaka nao wafe ili tujidai tunawaheshimu. Tuache unafiki!
Ni taarabu na ngonjera tu wanazotaka kutuaminisha hawa ccm,binafsi namuunga mkono mh lissu kwa ukweli alioutoa,amesubutu big up LISSU udumu daimaKuna uvumi (binafsi naziita propaganda) kuwa Mjumbe wa Bunge Maalum na Wakili Msomi mwenzangu Tundu A.M.Lissu 'amemtukana' Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. 'Matusi' husika yanadaiwa kuporomoshwa na Tundu Lissu alipokuwa akiwasilisha Maoni ya Wachache katika Kamati Nambari Nne ya Bunge.
Inasemwa kuwa Tundu Lissu amemtukana na kumdhalilisha Baba wa Taifa. Propaganda hizi zinazosambaa haraka na kwa kishindo zimemkumba hadi Mzee Edwin Mtei ambaye ni Mwenyekiti wa kwanza wa CHADEMA. Nikumbukacho ni kuwa Lissu alipokuwa akitetea na kufafanua Maoni ya Wachache,alitoa mifano minne akiwataja watu mbalimbali wakiwemo Mwalimu Nyerere,Profesa Issa Ghulamhussein Shivji na Dr.Harrison Mwakyembe.
Kwanza,tufahamishane hasa matusi yaliyoporomoshwa na Wakili Lissu dhidi ya Mwalimu Nyerere. Tukiyajua na kutambua kuwa ni matusi na dharau kweli,tuungane kumkemea Wakili Lissu na kumuonya asirudie tena. Karibuni tutaje matusi au dharau za Wakili Tundu Lissu kwa Mwalimu Nyerere. Halafu,kwanini wengine waliotajwa hawaonekani kama wametukanwa au kudhalilishwa?
Kuna uvumi (binafsi naziita propaganda) kuwa Mjumbe wa Bunge Maalum na Wakili Msomi mwenzangu Tundu A.M.Lissu 'amemtukana' Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. 'Matusi' husika yanadaiwa kuporomoshwa na Tundu Lissu alipokuwa akiwasilisha Maoni ya Wachache katika Kamati Nambari Nne ya Bunge.
Inasemwa kuwa Tundu Lissu amemtukana na kumdhalilisha Baba wa Taifa. Propaganda hizi zinazosambaa haraka na kwa kishindo zimemkumba hadi Mzee Edwin Mtei ambaye ni Mwenyekiti wa kwanza wa CHADEMA. Nikumbukacho ni kuwa Lissu alipokuwa akitetea na kufafanua Maoni ya Wachache,alitoa mifano minne akiwataja watu mbalimbali wakiwemo Mwalimu Nyerere,Profesa Issa Ghulamhussein Shivji na Dr.Harrison Mwakyembe.
Kwanza,tufahamishane hasa matusi yaliyoporomoshwa na Wakili Lissu dhidi ya Mwalimu Nyerere. Tukiyajua na kutambua kuwa ni matusi na dharau kweli,tuungane kumkemea Wakili Lissu na kumuonya asirudie tena. Karibuni tutaje matusi au dharau za Wakili Tundu Lissu kwa Mwalimu Nyerere. Halafu,kwanini wengine waliotajwa hawaonekani kama wametukanwa au kudhalilishwa?
Mkuu,Mh. Tundu Lisu ni miongoni mwa wabunge ninaowaheshimu sana tena sana. Japo sina chama cha siasa lakini nimekuwa nikikunwa na siasa za chadema. Lakini kwa hili kwakweli napenda kutofautiana na Mh. Lisu na chama cha chadema kwa kuendelea kukaa kimya kwa jambo kubwa kama hili na linalogusa hisia za watu wengi kwa namna tofauti. Naamini kuna watu wengi waliosikitishwa na tukio hilo na kupelekea kupunguza imani kwa Lisu napengine Chama kwa ujumla.
Ni ukweli Mwl. amefanya mambo mengi mazuri na mabaya pia na hata mimi kuna mbambo ambayo kimtizamo ninatofautiana naye mfano hili la Muungano. Tatizo langu kubwa kwa Lisu ni namna ya utumiaji wa maneno katika kufikisha hoja yake nzuri. Lisu inawezekana kabisa kutoa hoja yako na ikaeleweka pasipo kutumia lugha kali namna hiyo na pengine kutafsiliwa kama matusi. Mimi binfsi nayatafsiri maneno hayo kama matusi kulingana na nilivolelewa jinsi ya kuongea na kufikisha ujumbe kwa watu hasa wanaonizidi umri.
Kumbuka kuna watu wanamheshimu Mwl. kulingana na mambo aliyoyatenda na wengine mwalimu ni mtu wa level nyingine kiimani (Kulingana na imani zao za kidini) Hivyo muda mwingine matumizi mazuri ya maneno yanaweza kujenga taifa pasipo kuleta mgawanyiko katika jamii.
NOTE: Kwangu mimi tatizo siyo aliyoyaongea Lisu ila Jinsi alivyoongea.
Yale yale kila kitu Zitto na Kitila, haw asi tulisha wasahahu?Sidhani kama Lisu alitumia maneno yake vizuri, na ndiyo maana nimekuwa na wasiwasi na uhakika wa maneno yote aliyowahi kutuambia kuhusu Zitto na Kitila huko nyuma.
Aliyoyaongea alikusudia kuyasema hii si mara ya kwanza Lissu kumdhihaki baba wa taifa mwaka jana aliwahi kutoa lugha za kejeli kwa yule mzee vilevile akiwa anaongelea maswala ya ujamaa na kumkashifu kwa maneno makali baba wa taifa, he is setting a trend ambayo aikubaliki kabisa kwenye macho ya wengi wetu.
Tusiwe watumwa wa mawazo .Nyerere hakuwa malaika ni binadamu anamapungufu yake. na kukosolewa isiwe kosa CCM hawana hoja wamebaki kusema amemtukana baba wa taifa ametukana nn? CCM wanafiki wakubwa
Mkuu,
Mh Tundu Lissu ni mwanasheria aliebobea na kila mara yupo mahakamani kutetea kesi za washitakiwa wa CDM, swala la kuchagua maneno amna mtu anae lielewa vizuri kama mwanasheria na mwanasiasa, yeye ni vyote.
Cha muhimu ni kufuta kauli yake na kutuomba msamaha watanzania kwa kumziaki na kumtungia baba wa taifa, ukosefu wa heshima kama ule si wa kuvimiliwa.
Aliyoyaongea alikusudia kuyasema hii si mara ya kwanza Lissu kumdhihaki baba wa taifa mwaka jana aliwahi kutoa lugha za kejeli kwa yule mzee vilevile akiwa anaongelea maswala ya ujamaa na kumkashifu kwa maneno makali baba wa taifa, he is setting a trend ambayo aikubaliki kabisa kwenye macho ya wengi wetu.
Wengi nikimaanisha ni tunaopinga udini, siasa za ukanda na ulaghai as what Lissu is insinuating.Wengi wa kina nani? Sisi na #DiniYetu mpaka leo tunamadai na Tuna maalni na tutanedelea kumlaani kwa kutukandamiza na kutuletea Bakwata.
Ni kweli akuna aliemkamilifu lakini kamwe siwezi kwenda kuwatukana wazazi wangu katika kukosea kwangu hata nilipokuwa sikubaliani nao natafuta namna sahihi ya kutofautiana nao lakini si kuwakejeli hizo sio mila zetu za kitanzania. Alicho fanya ni kuwafunza watoto kukosa heshima na misingi ya utaifa lao na kuto waheshimu viongozi waliotumia nguvu nyingi sana kujenga taifa hili imara.wewe ujawahi kukosea mkuu? Hakuna mkamilifu ktk dunia hii hata huyo Nyerere
Nikumbukacho ni kuwa Lissu alipokuwa akitetea na kufafanua Maoni ya Wachache,alitoa mifano minne akiwataja watu mbalimbali wakiwemo Mwalimu Nyerere,Profesa Issa Ghulamhussein Shivji na Dr.Harrison Mwakyembe.