The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,355
- 17,339
Huu msemo wa Mwalimu wa ukianza kula nyama ya mtu huwezi kuacha, iko sahihi kabisa.
Ukianza kula wake za watu huwezi kuacha.
Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita nilianza kula mke wa binamu yangu, miaka hiyo nilikua nasoma chuo, likizo ndogo ndogo nikawa naenda pale kwa binamu yangu nikaishia kumtafuna mke wake na mimba juu ingawa mimba tuliitoa.
Baadae nilijilaumu sana na nikaapa kutokula mke wa mtu asilani, hamadi jumbe ndio nilikua nimefungulia milango ya mafuriko ya kula wake za watu, toka miaka hiyo imekua ni bandika bandua wake za watu.
Kula wake za watu ni rahisi kuliko kitu chochote. Yaani mke wa mtu ni wewe uamue kama unataka kumla ama hutaki.
Kwa uzoefu wangu, wanaume wengi tukishaoa wake zetu hatuwapi attention kama ile tuliyokua tunawapa siku za uchumba. Wanawake wanataka attention muda wote.
Kama mwanamke humsikilizi basi atatafuta mtu ambae atamsikiliza na atakua anamueleza mambo yake hata kama hana msaada lakini ile kumsikiliza tu aongee anachotaka kuongea inamtosha kabisa. Na wanawake walivyo akishapata mtu anaemsikiliza basi hawachelewi kumtunuku utamu.
Kuna mke wa mtu mwingine nimewahi kuishi nae nyumbani kwangu zaidi ya mwaka maana mumewe alikua mkoa wa mbali kikazi anakuja baada ya miezi 3, anakaa siku 2 hadi wiki, akiondoka mke anarudi kwangu na hata jamaa akiwepo napewa mechi mchana kweupe jua limewaka.
Wanaume wenzangu wasikilizeni wake zenu, wapeni muda, tengeni muda wa kuwasiliza na pia wahudumieni vyote.
Ahsante.