msakaa jr
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 6,511
- 6,723
Wanasomea Bahari Beach
Wanasomea Bahari Beach
Wa kuwasumbua wapinzani na wakosoaji wao kwa huo kweli wanaongoza.Mnaongoza kwa upelelezi wapi?
wa udaku wa insta. Diamond kamtia mimba nani, Harmonize kalala na nani, Mange Kimambi kaandika nini.Mnaongoza kwa upelelezi wapi?
Hizi stori daaaa nakumbuka tukiwa kijijni tulipigwa kamba sanaNje ya mada kidogo,
Hivi hako kafimbo ndio ambako alikiwa hawezi kunyanyua mtu yeyote ispokuwa yeye mwenyewe??
Baadhi yao hawana hata maadili ya kazi yao, mkipishana kidogo tu katoa kitambulishoUsalama uchwara usalama wa siisiiemu , jiwe aliiharibu sana hii idara yaani
Ni marine reserve islandKwanini bongoyo haikaliwi?
Chai za vijiweni hizi ,, na kubadilika sisimizi kwenye Iddy Amini war sio?Aliwahi kuisahau pahala walinyanyua walichemka kafimbo kake
Akitakakwenda pahala anaangalie kwenye kipeyo chake akiona damu haondoki safari inagairishwa
Alikua noma
Zile story za kwamba Nyerere akiitazama saa yake ikibadilika rangi kuwa nyekundu tayari anajua kuna hatari anabadili njia, wazee wenzangu bado mnazikumbuka? maana hawa vijana wa sasa waliopo chuo hawawezi kuzielewa hizi hasa hawa waliozaliwa kuanzia mwaka 1985 kipindi ambacho Nyerere anang'atuka kuwa mwenyekiti wa CCM na kumwachia mzee ruksa usukani......
Vyombo vya habari vilikua kwake na mtabiri yule Basi kwann tusimuamin angekua kipindi Hiki adanganye aonekwenye upande wa propaganda naweza kusema ndio alikua vizuri zaidi, aliaminisha watu yale aliyoyataka yeye aliekuwa adui yake alitaka na kila mtu awe adui yake, rudia story za Kambona na Idd Amin!!
Wanasomea Bahari Beach
Aliharibuje mkuuUsalama uchwara usalama wa siisiiemu , jiwe aliiharibu sana hii idara yaani
Kuna nini huko bongoyoNi marine reserve island
Shark lagoon, msitu wanuoto wa asili, light house, ngome ya Wajerumani, Beach nzuri, gambe na mikasi ufukweniKuna nini huko bongoyo
Sawa mkuu Upo.. Pande zipiShark lagoon, msitu wanuoto wa asili, light house, ngome ya Wajerumani, Beach nzuri, gambe na mikasi ufukweni