Mwalimu Nyerere alipika Majasusi na yeye alijiimarisha kwenye fani

Zile story za kwamba Nyerere akiitazama saa yake ikibadilika rangi kuwa nyekundu tayari anajua kuna hatari anabadili njia, wazee wenzangu bado mnazikumbuka? maana hawa vijana wa sasa waliopo chuo hawawezi kuzielewa hizi hasa hawa waliozaliwa kuanzia mwaka 1985 kipindi ambacho Nyerere anang'atuka kuwa mwenyekiti wa CCM na kumwachia mzee ruksa usukani......
 
Ujajusi wa Kambarage alimpiga chenga malkia. wakati anaomba uhuru malkia alimwambia ili upate uhuru nakupa na katiba baada ya uhuru Kambarage akaiweka vilaka katiba iendane na yeye
 
Aliwahi kuisahau pahala walinyanyua walichemka kafimbo kake

Akitakakwenda pahala anaangalie kwenye kipeyo chake akiona damu haondoki safari inagairishwa

Alikua noma
 
Zile story za kwamba Nyerere akiitazama saa yake ikibadilika rangi kuwa nyekundu tayari anajua kuna hatari anabadili njia, wazee wenzangu bado mnazikumbuka? maana hawa vijana wa sasa waliopo chuo hawawezi kuzielewa hizi hasa hawa waliozaliwa kuanzia mwaka 1985 kipindi ambacho Nyerere anang'atuka kuwa mwenyekiti wa CCM na kumwachia mzee ruksa usukani......

kwenye upande wa propaganda naweza kusema ndio alikua vizuri zaidi, aliaminisha watu yale aliyoyataka yeye aliekuwa adui yake alitaka na kila mtu awe adui yake, rudia story za Kambona na Idd Amin!!
 
Vyombo vya habari vilikua kwake na mtabiri yule Basi kwann tusimuamin angekua kipindi Hiki adanganye aone
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom