Mwalimu Nyerere akikemea ukabila na udini Rwanda mfano

Mwalimu Nyerere akikemea ukabila na udini Rwanda mfano

Geza Ulole

Platinum Member
Joined
Oct 31, 2009
Posts
75,966
Reaction score
107,442


MK254, kadoda11, waltham, Dhuks, Kimweri, JokaKuu, Kimweri, nomasana, MK254, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, bagamoyo, Ngongo, AbTitchaz, jMali, mtanganyika mpya, JokaKuu,[URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=11987"]Ngongo[/URL], [URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=34702"]Askari Kanzu[/URL], [B][URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=74204"]Dhuks[/URL], [B][URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=226515"]Yule-Msee[/URL], [URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=202742"]waltham[/URL], [B][URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=187273"]Mpendwa1[/URL], [URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=34552"]kadoda11[/URL], [URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=270766"]Kafrican[/URL], [URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=266869"]DemiGod[/URL][/B][/B][/B]
 
Last edited by a moderator:
murutongore mchambawima1 mng'ato sikilizeni baba wa taifa anasemaje kuhusu watu wenye ideologies kama hizo hapo chini:

siyo hima empire ndugu yangu,nikwasababu imeisha onekana kwa wazungu mtusi akitawala hawawezi leta uhuni wao ila hawa waafrika wengine zao ni kuwainamia wazungu na kusema ndiyo bwana.

Wewe jmali mbona povu linakutoka sana??au kwasababu nimesema sifa za mtusi??ndugu yangu mimi siwezi badili kauli yangu habari ndiyo hiyo,angalia uganda baada ya kuingia mseveni nchi imetuli,angalia rwanda mambo shwari uchumi unapanda kila kukicha,tizama wakati wa ufalme wazungu waligwaya,sometimes muwe mnaukubali ukweli kwamba kuna watu wazuri lakini wa kuongozwa na kunawengine wazuri wa kuongoza,kama wewe hufai kuongoza.

Geza Ulole umeona uji.n.ga wao hapo juu? Exactly what mwalimu warned against.
 
jMali
Ngoja nikuonyeshe nitakavokujibu wewe & Co.
 
Last edited by a moderator:
Hahah cheki pumba mlizowalisha wenzenu,kumbe mpk nyerere alikua mtusi! check mawazo ya mwenzenu anayejiita
Julius malema Jr.

Wakati mnajadili msisahau kuwa Jenerali Ulimwengu ni mtusi na mwakilishi wa Kagame Tanzania na wenzao waliotapakaa kwenye taasisi nyeti kwa dhumuni la kujenga himaya ya watusi katika ukanda wa Mashariki ya Africa na maziwa makuu. ..mkumbuke Kagame ni mtusi...Museveni. ..uhuru kenyata babu yake ni mtusi. ..kabila ni mtusi. ..makongoro Nyerere anayetaka kukabdhiwa nchi baada ya Jk kudanganywa na system ya kitusi bila kujua pia ni mtusi so makongoro akchukua nchi itakua bado Burundi tu ambayo watusi wanajua ni rahsi kuingia system iwe macho japo ina watusi ndani.
 
Geza Ulole
Hahah cheki pumba mlizowalisha wenzenu,kumbe mpk nyerere alikua mtusi! check mawazo ya mwenzenu anayejiita
Julius malema Jr.

Wakati mnajadili msisahau kuwa Jenerali Ulimwengu ni mtusi na mwakilishi wa Kagame Tanzania na wenzao waliotapakaa kwenye taasisi nyeti kwa dhumuni la kujenga himaya ya watusi katika ukanda wa Mashariki ya Africa na maziwa makuu. ..mkumbuke Kagame ni mtusi...Museveni. ..uhuru kenyata babu yake ni mtusi. ..kabila ni mtusi. ..makongoro Nyerere anayetaka kukabdhiwa nchi baada ya Jk kudanganywa na system ya ktusi bila kujua pia ni mtusi so makongoro akchukua nchi itakua bado Burundi tu ambayo watusi wanajua ni rahsi kuingia system iwe macho japo ina watusi ndani.
 
Last edited by a moderator:
jMali


Hahah cheki pumba mlizowalisha wenzenu,kumbe mpk nyerere alikua mtusi! check mawazo ya mwenzenu anayejiita
Julius malema Jr.

Wakati mnajadili msisahau kuwa Jenerali Ulimwengu ni mtusi na mwakilishi wa Kagame Tanzania na wenzao waliotapakaa kwenye taasisi nyeti kwa dhumuni la kujenga himaya ya watusi katika ukanda wa Mashariki ya Africa na maziwa makuu. ..mkumbuke Kagame ni mtusi...Museveni. ..uhuru kenyata babu yake ni mtusi. ..kabila ni mtusi. ..makongoro Nyerere anayetaka kukabdhiwa nchi baada ya Jk kudanganywa na system ya ktusi bila kujua pia ni mtusi so makongoro akchukua nchi itakua bado Burundi tu ambayo watusi wanajua ni rahsi kuingia system iwe macho japo ina watusi ndan


https://www.jamiiforums.com/showthread.php?p=12080519
 
Last edited by a moderator:
mng'ato

Hivi unaifaham vizuri historia ya hizi nchi za Afrika ya Mashariki? Muingiliano upo na ni kawaida tu kutokana na wa Ujerumani walivyozigawa nchi zetu mfano Wajaluo wa sirari Tanzania wana udugu na Wajaluo wa Kenya, Bukoba na Uganda the same pia angalia wilaya ua Ngara wahangaza ni makabila yanayo ingiliana na Burundi na Rwanda so mtu kuwa na asili ya upande flani haimaanishi kuwa wanamipango ya kutawala East Africa, mbona ndugu zetu wengi wamejaa Kenya na wanamiliki madaraka makubwa tu huko kwa hiyo na sisi tuna huo mpango?

Angalia USA kuna kila kabila huko na kila rangi mpaka wahindi,kwa pumnazako nahao wanamikakati yakuitawala?

Ondoa mawazo mgando ndugu na maneno yakijiweni kwenu huko.
 
Last edited by a moderator:
Hahah mkuu huyo ni jamaa anayejiita julius malema jr. wa humu jfk ndie alietoa hayo maoni.
 
mng'ato

Hizi ndoto za kitusi ndo zinazowaumiza. Ahahahhahha, suala si kabila la mtu mkuu. Swala ni ukabila. Yaani aliyewalaani watusi atakuwa alisha kufa. Mnajiconnect hivyo hivyo lakini mwisho wa siku hamjui nini mnachokifanya.

Basi hata wasomali ni watusi, ehehehehhee.... kazi kweli kweli
 
Last edited by a moderator:
dagii

Ahsante sana mkuu kwa kuwaelimisha hawa jamaa akina mng'ato.

Hiki ndicho kitu kinachowaharibu. kwa maana hiyo Obama ni mjaluo ina maana wajaluo wana mpango wa kuitawala USA?

Yaani wana pumba nyingi kweli kweli.
 
Last edited by a moderator:
JustDoItNow

hahah unamwambia nani huo upuuzi, nyie si ndio mnaowaaminisha kwamba kila kiongozi ana asili ya kitutsi afu nimekuwekea link hapo juu mbona hutaki kuchek uone huyo mpuuzi mwenzako Julius malema Jr alichokisema
 
Last edited by a moderator:
JustDoItNow

hahah afu kuna thread 1 sijakuona kabisaa pamoja na mwenzenu kuwa tag hahah au hujaiona? ngoja nikuwekee link yake hapa uchangie kidogo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom