Africa should take lead in flushing out FDLR - German envoy

wabantu sio kabila vile vile, ni group la makabila yenye similar features like FLAT NOSES, etc, ila turudi kwenye comment yako:

let's forget about bantus, maana najua tutakesha hapo, let me rephrase my question: "so basically what you are saying is that the tutsis are inherently better leaders than the rest of us "non-tutsis" isn't?

sasa sijui nikujibuje,kwani hujui kwamba katika taifa huwa kuna makabila yanajulikana kwamba ni wasomi wazuri,wafanyabiashara wazuri,etc sasa hata kwa hilo la watusi tangu zamani walikua watawala wazuri na mkoloni alikuta organisation structure ya utawala imara wakati huo wa ufalme na wakoloni walistajabu sana,na ndio maana hapakua mtumwa wa kinyarwanda kama ilivyokua sehemu zingine za afrika,angalia sasa rwanda ilivyo ukilinganisha na serikali ya habyarimana iliyokua na 100% wahutu utawalani,lakini sasa rwanda inapiga hatua kubwa kimaendeleo kwasababu ya serikali iliyochanganya watusi na wahutu.kwahiyo mimi siwezi kataa kwamba watusi niwazuri katika masuala ya utawala upende usipende ni wazuri sana katika nyanja hiyo.
 
..Interahamwe, na Akazu, walikuwa na mitizamo na misimamo kama yako.
 
shocking! Hutu extremists walichokosea ni kuwaua tu, ila stereotype zao juu yenu zilikuwa spot-on. Wewe huna tofauti na kina Hassan Ngeze wa Hutu power, just opposite camps!
 
Ahaha jmali,unaona kuna sera za kua humo??huwezi nilinganisha na akina ngeze,wao walikua waki waita wahutu kuua watusi,lakini mimi na support umoja kati ya watusi na wahutu lakini ukweli unabaki pale pale watusi ni bora katika utawala...
 
..Interahamwe, na Akazu, walikuwa na mitizamo na misimamo kama yako.
Wao walidanganya kwani on ground hakuna zuri walilofanya lakini angalia baada ya kurudi makwao hao watusi rwanda ime advance kimaendeleo mkubali msikubali jamaa ni wakali.
 
Ahaha jmali,unaona kuna sera za kua humo??huwezi nilinganisha na akina ngeze,wao walikua waki waita wahutu kuua watusi,lakini mimi na support umoja kati ya watusi na wahutu lakini ukweli unabaki pale pale watusi ni bora katika utawala...

Tofauti iko wapi, hata kagame alishika bunduki kwa sababu anaamini "watutsi ni bora katika utawala", hivyo utawala wowote wa wahutu ni batili. Na ndio maana nchi yenu imekuwa kwenye mapigano since revolution in 1958, kwa sababu watutsi-extremists hamkubali kuwa majority ya wananchi wana haki ya kutawala, mnataka muwe nyinyi mnaendesha nchi wakati nyinyi ni asilimia 15 tu.
 
wewe kila siku nakwambia demokrasi si lazima kabila kubwa kutawala basi wasukuma wangeongoza tanzania.
 
wewe huyo huyo unadai kuwa watutsi ni bora kuliko waafrika wote katika utawala. No doubt endapo tutaungana kuwa nchi moja basi EAC mtataka muwe nyinyi tu madarakani au sio? Hakuna tatizo la minority kuwa kwenye utawala tatizo ni minority hao kutaka kutawala kimabavu kama wafalme.
 
Tofauti iko wapi, hata kagame alishika bunduki kwa sababu anaamini "watutsi ni bora katika utawala", hivyo utawala wowote wa wahutu ni batili. Na ndio maana nchi yenu imekuwa kwenye mapigano since revolution in 1958, kwa sababu watutsi-extremists hamkubali kuwa majority ya wananchi wana haki ya kutawala, mnataka muwe nyinyi mnaendesha nchi wakati nyinyi ni asilimia 15 tu.

Upotoshaji mwingine wewe mchungaji.....silaha zilitwaliwa baada ya mjomba wako kukataa tusirudi kwetu eti "nchi ni ndogo". haikuwa ndogo wakati mnafurumshwa sio.
 
Wewe ndio mpotoshaji mr kajuga, watutsi hawakuanza kupambana mwaka 1990, watutsi walianza kupambana na serikali za wahutu since the revolution, wakipinga kuongozwa na wahutu nchini Rwanda. RPF imezaliwa kutokana na vikundi mbali mbali vya kigaidi vya watutsi since miaka hiyo huko. In burundi watutsi wameua ALL hutu presidents toka uchaguzi wa kwanza. Leo hii Nkurunzinza anaongoza kutokana na mazungumzo ya amani ya Arusha, baada ya kuweka sanctions zilizoshauriwa na mwl nyerere, otherwise huyu naye angeuawa tu. Tatizo la msingi ni dhana ya watutsi-extremists kama MUKAMASIMBA wanaodai kuwa wao pekee ndio wanaotakiwa kutawala, sisi waafrika wengine non-tutsis ni ma.bwe.ge fulani tu. Same thing applies to DRC ambako watutsi wa M23 walitaka kupindua nchi waongoze wao.
 
"hata kagame alishika bunduki kwa sababu anaamini "watutsi ni bora katika utawala",

hii ndio comment yako halafu soma tena pumba zako hapo juu...milembe nafasi bado zipo aisee....
 
kila siku nakwambia usidandie mijadala kisa umeniona mimi, haya tafakari kauli ya mtutsi mwenzio kisha useme kama nimekosea kwa kagame

siyo hima empire ndugu yangu,nikwasababu imeisha onekana kwa wazungu mtusi akitawala hawawezi leta uhuni wao ila hawa waafrika wengine zao ni kuwainamia wazungu na kusema ndiyo bwana.

nyinyi extremist mnatuona africa nzima ma.fa.la, halafu mnataka tusiseme? hebu wewe kanusha au kubali hii comment ya mukamasimba hapo juu. probably utayeyusha tu...
 
kila siku nakwambia usidandie mijadala kisa umeniona mimi, haya tafakari kauli ya mtutsi mwenzio kisha useme kama nimekosea kwa kagame

nyinyi extremist mnatuona africa nzima ma.fa.la, halafu mnataka tusiseme? hebu wewe kanusha au kubali hii comment ya mukamasimba hapo juu. probably utayeyusha tu...

kwa mara ya mwisho manake siku hizi naona the grey matter zako zinakuwa uji..

"hata kagame alishika bunduki kwa sababu anaamini "watutsi ni bora katika utawala",

hii kauli ni yako na sio ya mukamasimba...nimekujibu wewe kwa sababu ya kauli hii hapo na sio majibizano yako huko nyuma...sawa.
 
kauli hiyo ilikuwa inamjibu mukamasimba na sio wewe, wewe huwezi kuanzia hapo halafu tukaelewana. Wewe jibu kwanza unakubali au unakataa kauli ya mukamasimba? maana hiyo ndio chanzo cha hiyo kauli.
 
Wewe jmali mbona povu linakutoka sana??au kwasababu nimesema sifa za mtusi??ndugu yangu mimi siwezi badili kauli yangu habari ndiyo hiyo,angalia uganda baada ya kuingia mseveni nchi imetuli,angalia rwanda mambo shwari uchumi unapanda kila kukicha,tizama wakati wa ufalme wazungu waligwaya,sometimes muwe mnaukubali ukweli kwamba kuna watu wazuri lakini wa kuongozwa na kunawengine wazuri wa kuongoza,kama wewe hufai kuongoza.
 
cc: Charles Mkubya. MK254
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom