raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 9,112
- 26,458
Ukimaliza kiroho umemaliza dunia umemaliza ulimwenguKwa mfano Tanzania tunaishi Ulimwengu wa CCM kwa maana ya kiroho
Sidhani kama utaelewa labda aje Mshana jr kusaidia 😃
Ukimaliza kiroho umemaliza dunia umemaliza ulimwenguKwa mfano Tanzania tunaishi Ulimwengu wa CCM kwa maana ya kiroho
Sidhani kama utaelewa labda aje Mshana jr kusaidia 😃
Why wakristo tu...na watu wanaamini dini zingine ambazo hawaamini wat u say? Mbona huogopi kuhusu wanachoamini. Au unachoamini ni sahihi coz mama Ako kakuambia and she's always right 😂kanisa ni watu waliokubali kutubu dhambi zao na kumwamini kumpokea Yesu sio jengo wala dhehebu
una uhuru wa kuamini unachoaminiWhy wakristo tu...na watu wanaamini dini zingine ambazo hawaamini wat u say? Mbona huogopi kuhusu wanachoamini. Au unachoamini ni sahihi coz mama Ako kakuambia and she's always right 😂
Hakuna kitu kama hicho mkuu.YESU atarudi dunia kuja kufa kwanza/kuonja mauti,halafu ndo mambo mengine yanafuata.Waislam wanasemaje juu ya hili!???
Unyakuo ni fundisho la uongo.Kanisa litanyakuliwa kwanza! Yesu atakapokuja kunyakua Kanisa, hatafika Duniani. Atalinyakua Kanisa na kwenda nalo Mbinguni, Baada ya hapo atakuja kutawala miaka elfu Moja, Yeye akiwa Mtawala mkuu!! na watakatifu watakuwa washirika kwenye huo Utawala!
UongoKwenye unyakuo sio kila jicho litamuona ni wale watakaokuwa tayari kwa unyakuo kwenye hiyo dakika Yesu atakayotokea mawinguni ambapo parapanda italia na si kila mtu ataisikia. Baada ya unyakuo baada ya miaka 7 ya dhiki kuu ndipo atarudi na hapo ndo kila jicho litamuona. Kumbuka kwenye unyakuo kama mtu sio mtakatifu dakik hiyo anayotokea mawinguni ambapo hatokanyaga kwenye ardhi ya hawezi muona Yesu kamwe. So Mwl Mwakasege hajakosea rudi tena kuchunguza maandiko.
Mambo ya imani ni pasua kichwa, vipi amefanya muujiza wowote hapo?Dalili zote zinaonyesha Unyakuo wa Kanisa u karibu, Yesu Kristo yu karibu kurudi na Ule mwisho wa Ulimwengu Huu umefika
Source: Upendo TV
amekaribia sana, tujiandae.Ni katika siku ya mwisho ya seminar kwenye Viwanja vya Gangilonga mkoani Iringa Somo Kuu likiwa Kesheni maana Hamjui Siku wala Saa
Mwalimu Mwakasege amesema tunaishi katika siku za mwisho za Ulimwengu Huu
Dalili zote zinaonyesha Unyakuo wa Kanisa u karibu, Yesu Kristo yu karibu kurudi na Ule mwisho wa Ulimwengu Huu umefika
Source: Upendo TV
Mlale Unono 😀
Ishu sio uhuru....why wewe unachagua kuamini ukristo na sio uislamu. Wat if Yesu si Mungu na ulitakiwa kuamini Allah na mtume wake...huogopi moto wa waislamu?una uhuru wa kuamini unachoamini
😂😂😂Ila mwakasege bana nilicheka sana aliposema alipewa mualiko UN Newyork na mwingine Kilombero akamfikishia mungu suala hilo akimuuliza mungu aende wapi Mungu akamwambie aende Kilombero
Mbona vitu ulivyosema hapa ni eitherHakuna kitu kama hicho mkuu.YESU atarudi dunia kuja kufa kwanza/kuonja mauti,halafu ndo mambo mengine yanafuata.
Mambo matano ambayo Mwenyezi Mungu pekee anayajua.
1.Kiyama
2.Kilichomo tumboni mwa mama mjazito(hapa ni zaidi ya Utrasound)
3.Mwenyezi ndo anayeleta Mvua(hapa ni zaidi ya watabiliwa hali ya hewa)
4.Mwenyezi Mungu ndo ajuaye kesho yako
5.Anajua utafia wapi.
Hivyo mwisho wa dunia ni vitu ambavyo vipo nje kabisa ya uwezekano wa akili za mwanadamu.
Watu kwa maelfu wameokolewa!Mambo ya imani ni pasua kichwa, vipi amefanya muujiza wowote hapo?
Kuna utofauti kati ya Yesu kurudi mara ya pili na unyakuo. Pia matukio ya kinabii bado yanaendelea, kwahiyo hata huo unyakuo bado. Mojawapo ya matukio ni kujengwa upya kwa hekalu la Mfalme Suleimani ambapo umejengwa msikiti wa Al Aqsa.Hivi kunatofauti kati ya unyakuo na kuja kwa Yesu mara ya pili ambayo anasema kila jicho litamuona?
Hawa walimu wa siku za mwisho ni wema ila ni vizuri tuhakiki neno kwa neno.
Unamafungu yake?Kuna utofauti kati ya Yesu kurudi mara ya pili na unyakuo. Pia matukio ya kinabii bado yanaendelea, kwahiyo hata huo unyakuo bado. Mojawapo ya matukio ni kujengwa upya kwa hekalu la Mfalme Suleimani ambapo umejengwa msikiti wa Al Aqsa.
Utatangulia unyakuo (rapture) na kisha Yesu atarudi mara ya pili, makao yake makuu yatakuwa Yerusalemu. Atatawala kwa miaka elfu 1!
Kwa usahihi kanisa si jengo la ibada au taasisi za kidini tunazoziita madhehebu.Kanisa jengo, dhehebu au watu? Na ni jengo au kanisa lipi hilo au watu wapi hao?