GeoMex
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 5,431
- 19,786
Ila rekebisha taarifa yako kidogo huyu mama kafariki kama siku 3 zilizopitaTuliowahi Kusoma Kibaha Boys, wale Wa Kibaha Girls, na Tumbi Sekondari Watakuwa Wanamkumbuka Mkuu Wa Shule Ya Wasichana Kibaha na Pia Mkuu Wa Shule Ya Sekondari Tumbi.
Mwl.Prosscovier K. Luhaga amefariki Jana na Msiba Uko Kwake Kibaha, Picha Ya Ndege
Mme Wa Marehemu Mzee. Luhaga Aliwahi Kunifundisha Kemia Wakati Nasoma Kibaha Boys.
R.I.P. Mrs Luhaga View attachment 1945928
Na ndo watu walizusha kuwa ni mke wa Profesa LUHANGA wakichanganya na huyu mama LUHAGA wa kibaha
Mimi nna urafiki na Familia zote mbili niliuliza humu somewhere siuoni ule uzi
Apumzike kwa amani mama Dietrich
Cc Mshana Jr