TANZIA Mwalimu Mbao (Ex Headmaster wa Songea Boys. Iyunga, Mkwawa nk) afariki dunia

Aliyewahi kuwa Mkuu wa Shule ya Sekondari Songea Boys,Iyunga na Mkwawa kwa vipindi tofauti S.S.Mbao amefariki dunia.

Wadau mliopita mikononi mwa Mbao katika Shule hizo imenipendeza kuwajuza.

Apumzike kwa amani S.S.Mbao
Alikua Mkuu wetu Mkwawa mwaka 2003-2005,pumzika Kwa amani mjomba
 
Mwenye ratiba ya shughuli nzima ya mazishi kwa huyu mheshimiwa ashee. Au ulipo msiba tafdhali atujuze
 
Aliyewahi kuwa Mkuu wa Shule ya Sekondari Songea Boys,Iyunga na Mkwawa kwa vipindi tofauti S.S.Mbao amefariki dunia.

Wadau mliopita mikononi mwa Mbao katika Shule hizo imenipendeza kuwajuza.

Apumzike kwa amani S.S.Mbao
Mungu amuweke anapostahili Mwl wetu Mkwawa High School, Shabani Robert west/ makanyagio domotory
 
Aliyewahi kuwa Mkuu wa Shule ya Sekondari Songea Boys,Iyunga na Mkwawa kwa vipindi tofauti S.S.Mbao amefariki dunia.

Wadau mliopita mikononi mwa Mbao katika Shule hizo imenipendeza kuwajuza.

Apumzike kwa amani S.S.Mbao
Ooh jamani... Mungu amlaze mahali pema aisee... Alikuwa Mkuu wa shule wa ukweli sana, enzi hizo Mkwawa Complex... nakumbuka kauli yake siku moja tulipokuwa assemble J3 asubuhi, nanukuu "those who will not jump, they will jump home". Kauli hiyo ilitokana na mkwara wa General Secretary - Samwel Magoiga alipowataka dodgers wa usafi mabwenini (kama Lumumba west&east,,etc) watoke mbele.
 
Back
Top Bottom