Arushaone
Platinum Member
- Mar 31, 2012
- 15,237
- 13,560
Bora wamsimamishe...maana mwaka 2000 - 2001 tulishindwa kumsimamisha Kitemango kwa kuwa alikuwa na godfathers kibao idara ya elimu mkoa wa Arusha wakati huo.
Subiri utasikia kahamishiwa shule ingine....soon.