Mwalimu MKUU Ilboru Sec asimamishwa

Kwa maelezo ya vijana wale ni kuwa pamoja na mambo mengine alikuwa mbaguzi wa kidini.....kivipi?
 
pengine tulikuwa darasa moja au tulipishana mwaka mmoja...Kitemango alikuwa na back-up kubwa sana wizarani na pale mkoani Arusha...can you imagine headmaster kutumia gari kama lile alilokuwa akitumia? yote ilikuwa ni kushikwa mkono

Yeah nasikia jamaa ni mfanyabiashara mkubwa sasahivi japokuwa bado ni Headmaster kama sikosei Karatu High School
 
Nguvu ya umma a.k.a wanafunzi. Hongereni wanai Ilboru. Nchi haiwezi kuendeshwa kwa udini, ukanda, ukabila and the like.
 
Kwa maelezo ya vijana wale ni kuwa pamoja na mambo mengine alikuwa mbaguzi wa kidini.....kivipi?

[UNDER MODERATION]
truly the boyz are right,coz their demands were materialized since this HEAD come to our school by that tym being form five,basicaly the head at first seemed segregativ on religious basis as he tried by hooks and crooks to make sure that the MUSLIMS are totaly supressed,eg.he oneday entered the mosque and take away all furnitures and other things,he wanted to cancel some of our prayers instead of 5 prayers now being under his own prejudice,he suspended our x-leaders by framing the wrongs beind done by them to school ADMN.
REALLY he was anti-muslims,to make himself at safeside he pretended to intervene our brothers in SDA sect,
THE MAJOR REASON WHY HE WAS DOING ALL THESE WAS THAT THE STUDENTS SHOULD BE SENSTIVE IN ACADEMIC ISSUES RATHER THAN OTHER ISSUES,
 
HAUPO vizuri kichwani bro. nani afukuzwe kati ya anayetoza michango feki isiyotambuliwa na wizara ya elimu na bodi ya shule au mwanafunzi anayedai haki yake? yani tutozwe shilingi laki moja na tisini elfu kisa nimechelewa kuripoti shule,nifukuzwe shule kwa kumkataa mkuu wa shule anayenitoza shilingi elfu hamsini tena kupitia MPESA YA MKEWE,NIFUKUZWE SHULE KISA NATAKA UTHIBITISHO WA MKUU WA SHULE KUNIITA SHOGA MBELE YA MZAZI? KAKA TAFADHARI WEWE NI EX-ILBOLIAN WA AINA GANI,TUMETOZWA PESA KWA UKARABATI WA BUS LA SHULE HEWA AMBALO HATA MHANDISI WA HALMASHAURI HALIFAHAMU NA WAKATI HUOHUO LIKIPGA MZIGO MTAANI? NIFUKUZWE SHULE KWA SABABU IPI SASA?KAMA BODI YA SHULE TUMEIOMBA TUKUTANE NAYO ZAIDI YA MARA KUMI LAKINI WALIKAZA UBONGO,MKUU WA WILAYA TUMEKUTANA NAE ZAIDI YA MARA TATU TENA HUYU MGENI ACHILIA MBALI YULE ALIYEHAMISHWA, LAKINI UFUATILIAJI WAKE ZERO,TUMEONANA NA MKUU WA MKOA WAKATI ULE AKIWA NI ISIDORI LAKINI WAPI,SASA NANI AFUKUZWE?:crying::crying:
 
Wanajamvi hii ni temporary a/c yangu hapa jf,natumai kama admn watalipatia ufumbuzi suala la kurekebisha a/c yangu nitaitumia kulijadili kwa kina hili suala, maana sio geni,tutazungumza kama watanzania tutakao mabadiriko na pia kama ilborians.........nitaleta ushahidi wa picha za matukio tangu february kaka zetu walipofanya maandamano na haya yalofanywa sasa.......kwa kifupi hali ya wanafunzi chini ya huyu mkuu wa shule haikuwa ya kawaida,tumeteseka zaidi ya mnavyofikiri,(kaka issa msharipoti chuo? Salaam kwa ex-ilborians 2012.
 
acha utani kaka mi mbona nilikuwa frontline boy,acha tusiwape watu faida lets stand together and appreciate what has bn done by our little ones,upo hapo

na bro feruzi alijificha ofisi ya wasabato............issa nyuma ya room 7........hahaaaaaaaa two weeks chini ya chairman bujiba mbona mlijuta.
 
anaitwa jeovinus mutabuzi...aka jr
general mutabuzi the perfect haya.
Makosa ni mengi kwa uchache tu ni haya; kutoza fine wanafunzi pale wanapochelewa kuripoti shule na fine hiyo kuilipia kupitia mpesa namba ni ya mkewe, kiasi cha kuanzia ni sh.190,000. Ukikamatwa umevaa shati la mikono mirefu nawe sio kiongozi unalipa 50,000.pesa ya taaluma sh.10,000 kwa mujibu wa waziri hicho kitu hakipo kwa shule ya ilboru,ukarabati wa majengo room 7 kupaka rangi jengo zima na kubadirisha bati 6 imegharimu milioni kumi tisa, naibu waziri kaomba uchunguzi ufanyike tena kwa kina,kuwadhalilisha wanafunzi(mashoga kisa kakuta mpira wa kiume uliotumika kwenye uzio wa shule) kaka makosa ni mengi.......naja na ripoti kamili ili lijadiliwe hapa na great thinkers kwa mapana na marefu, natumaini admn watalifanyia kazi ombi langu mapema.
 
Yeah nasikia jamaa ni mfanyabiashara mkubwa sasahivi japokuwa bado ni Headmaster kama sikosei Karatu High School
Si headmaster tena bali ni mkuu wao. Yaani sasa yeye ni Afisaelimu Sekondari(wilaya) hukooooo Ngorongoro.
 
mpakato poleni sana kwa kutafuta haki hapo Ilbori lakini huyu mwenzenu issa O.Issa slung yake kiboko inaonyesha kweli ni Sekondary ya maGenius hapa TZ hizo grammer bora mtupe jibu Dini alibaguaje (kiswahili)
 
Last edited by a moderator:
mpakato poleni sana kwa kutafuta haki hapo Ilbori lakini huyu mwenzenu issa O.Issa slung yake kiboko inaonyesha kweli ni Sekondary ya maGenius hapa TZ hizo grammer bora mtupe jibu Dini alibaguaje (kiswahili)

bro ukwaju twaja na taarifa kamili pindi nikirekebishiwa a/c yangu but kama itachukua muda mrefu nita tiririka hapahapa. HUYO ISSA NI BALAA BRO SI UNAJUA PINDI ZA USTAADHI?
 
Polen sanaa wakuu wa ilboru.. huyo headmaster sisi pia alitutesa sana pale Tosamaganga..... anapenda sana masifa huyo jamaa kitambi ila watu wakamkomalia akapata transfer....
 
Back
Top Bottom