Mwalimu Mkuu amfungia mwanafunzi darasani kwa Mnyororo

Mwalimu Mkuu amfungia mwanafunzi darasani kwa Mnyororo

Huyu angekuwa nchi zinazojielewa, yaani wangemchunguza mpaka malezi ya watoto wake.

Kama kuna shida huko angenyang’anywa na wanae
 
Yaani mwalimu anasaidia mmeshindwa kutunza na kulea mitoto yenu isije ikapotea kwenye makundi ya wavuta ngada na majambazi sahizi anaonekana wa ajabu

Huo mnyororo mtoto akifungwa siku Moja tu ashasaidiwa maisha yake yote
 
Halafu kuna Mata hila humu kila kitu huwa wanawatetea walimu wenzao!!!
 
Yaani mwalimu anasaidia mmeshindwa kutunza na kulea mitoto yenu isije ikapotea kwenye makundi ya wavuta ngada na majambazi sahizi anaonekana wa ajabu

Huo mnyororo mtoto akifungwa siku Moja tu ashasaidiwa maisha yake yote
Mpeleke wako dada nae akatiwe chain
 
Kaka zangu wawili walikuwa watoro wa shule wasipo enda shule walikuwa wanawekwa kwenye gunia lenye upupu siku nzima,leo hii wanashukuru kwa kufanyiwa hivyo.
Ujinga wa ngozi ya tak,o huu halafu unajiona mjanja kumbe fal,a.

Kumbe ndiyo maana watu kama ninyi hamuwezi kujisimamia wenyewe hata kazini hadi muamrishwe na maboss zenu.

Kumbe hili limeanzia huko chini baada ya kufanyiwa unyanyasaji wa hali ya juu.

Unyanyasaji sio lazima kiwe kifir,o pekee bali hata walichokuwa wanafanyiwa ni aina ya ukatili/Unyanyasaji.
 
Yaani mwalimu anasaidia mmeshindwa kutunza na kulea mitoto yenu isije ikapotea kwenye makundi ya wavuta ngada na majambazi sahizi anaonekana wa ajabu

Huo mnyororo mtoto akifungwa siku Moja tu ashasaidiwa maisha yake yote
Unaonekana unapenda sana kufanyiwa vitendo vya kikatili ikiwemo kifir,o ndiyo maana unaona mtoto kufungwa chain kama mbwa ni sahihi.

Shwain mkubwa wewe usiye na haya wala utu ulipaswa uishi porini na wanyama wenzako.
 
Speaking from personal experience, Mimi binafsi isingekuwa Mzee wangu kunifunga kamba kwenye mti na kunicharaza mijeledi kama mbwa ningekua aidha nimekufa sahizi kwa ukibaka au hata teja barabarani

Huruma zenu zinaharibu watoto huko mitaani, yaani hapo kufungwa tu mnyororo mguuni na kulazwa darasani ili asisahau consequences za maamuzi yake (huyu ukute hata viboko havifanyi kazi ) mnaona kaoneeewa kumbe bila kujua mnafuga vibaka na mateja wajao
 
Back
Top Bottom