Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 3,003
- 8,385
Mwalimu mkuu ana kosa japo inaonekana alikua na dhamira nzuri ila alikosa utu kwa njia aliyoitumia.
Wazazi wa mtoto pia wana makosa Kwasababu
1. Hivi inakuaje mwanao unaona hajarudi nyumbani badala ukamtafute au ukariport kituo cha polisi kama mzazi?
2: Na hivi mzazi inakuaje unakuta mwanao kapigwa mnyororo badala ya kuriport haraka polisi huku unaleta kashikashi ya kumuokoa mwanao una baki kusema tuu tumpe chakula , je angepewa chakula inamaana wazazi wangemuacha alale humo siyo?
3: Walinzi wana makosa makubwa sana, hata kama bosi wako kaagiza na unaona siyo sawakuna namba za simu za wakuu wa polisi au zile za controal room mnapiga haraka sana na kama ni kampuni imewaweka mnawapa taarifa wakubwa wenu kwenye kampuni mkiona hawaeleweki mnapiga simu polisi waje haraka.
Uchunguzi uanze kwa mwalimu mkuu na wazazi wa mtoto alafu uje mpaka kwa walinzi haijalishi walitoa taarifa kwa mzazi na ikibidi wakifinywa vizuri wataongea yote.