Mwalimu mcheza video za ngono | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwalimu mcheza video za ngono

Discussion in 'International Forum' started by Babuji, Jan 27, 2009.

 1. B

  Babuji Senior Member

  #1
  Jan 27, 2009
  Joined: Nov 27, 2008
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anna Ciriani, mwalimu anayefundisha somo la lugha ya kitaliano katika shule moja ya sekondari katika mji wa Pordenone nchini Italia amekiri kwamba wakati anapokuwa nje ya kazi hujishughulisha na kazi yake ya kupiga picha na video za ngono kwaajili ya mitandao kadhaa ya ngono duniani.

  Anna aliamua kuthibitisha habari hizo baada ya wanafunzi wake kadhaa kuziona picha za ngono za mwalimu huyo.

  Anna alisema kuwa wakati wa masomo huwa makini katika mavazi na taratibu za shule lakini anapokuwa nje ya shule Anna hufahamika kama "Madameweb" nyota wa video za ngono ambazo zimesambaa katika tovuti zaidi ya milioni moja duniani.

  Miaka mitano iliyopita Anna alilazimika kubadilisha somo lake alilokuwa akifundisha baada ya wanafunzi wake aliokuwa akiwafundisha kubandika katika kuta za vyoo vya shule hiyo picha zake kadhaa za uchi walizozichukua kutoka kwenye mitandao ya ngono mbalimbali.

  Source: Nifahamishe dot com
   
Loading...