Mwalimu Ashika Tama...

PAGAN

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
11,768
19,303
17426403_10155161164891340_2851550112671667497_n.jpg
 
Anashangaa yeye kupigania uhuru toka kwa wazungu hadi ukapatikana... sisi leo tunaupigania toka kwa wa......... !
 
Anashangaa yeye kupigania uhuru toka kwa wazungu hadi ukapatikana... sisi leo tunaupigania toka kwa wa......... !

Mwalimu katika uhai wake aliwahi kuonya kuwa katiba yetu inampa RAIS madaraka makubwa sana kiasi kwamba siku moja madaraka hayo yakija kushikwa na mwendawazimu nchi inaweza kwenda kombo!!!! Tafuteni hotuba hii ya mwalimu kwenye masjala ya TBC/ITV!!!
 
Kwa jinsi alivyotawala yeye ingekuwa ndiyo leo hii asingemaliza hiyo miaka yote sema zamani wakati anatawala tuseme tulikuwa gizani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom