Mwalimu aruka hewani na wanafunzi wake!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwalimu aruka hewani na wanafunzi wake!!!

Discussion in 'International Forum' started by ngoshwe, May 15, 2010.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  May 15, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  A charter school has fired one of its teachers -- accused of beating up a student on video. A classmate captured the entire incident on their cell phone. The teacher in question, identified by school officials as Sherri Davis, was officially terminated on Monday night. Now that officials at Jamies House Charter School have been able to review the video on Fox News, we are horrified at the actions of the teacher, principal David Jones said in a statement." - 26 News.

  Sherri Davis, a science teacher at Jamie's House Charter School, allegedly backed 13-year-old Isaiah Johnson into a corner and began beating him while his classmates watched.

  HOUSTON (CBS/KHOU) When their teacher backed one of their classmates into a corner, students at a Houston-area charter school thought it was a joke - but it allegedly turned into a shocking and brutal beating that was caught on tape.

  Cell phone video of alleged beating at Houston-area school. (KHOU)

  Sherri Davis, a science teacher at Jamie's House Charter School, allegedly backed 13-year-old Isaiah Johnson into a corner and began beating him while his classmates watched.

  At the beginning of the video you can hear the laughter and applause from the students as Isaiah is backed into a corner by Davis after Isaiah reportedly teased a female classmate. But Janiqua Johnson, a student who shot the video on her cell phone, says Davis "snapped" and started beating the 13-year-old, according to CBS affiliate KHOU.

  The teacher "just started beating him up," Janiqua Johnson told KHOU. "His behavior may have been bad but he didn't deserve that," Johnson said, referring to the teasing that preceded the alleged beating.

  Davis was placed on administrative leave when school officials learned of the incident in late April, but was fired Monday when officials saw the video.

  "It was horrifying," said Sue Jones, spokesperson for the school. "There's just no other word for that."
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  May 15, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Kamgusagusa tu hapo ndio imekuwa ishu..lol
   
 3. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #3
  May 15, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  mZEE SI UNAJUA USTAARABU WA WAZUNGU TENA KUHUSU HAKI ZA MTOTO NA MWANAMKE?
  SHIDA INGEKUWA KUBWA TENA KAMA HATA HUYO DOGO ANGEKUWA NI MZUNGU KAMILI ...HATA HABARI INGEGEUKA "BLACK TEACHER BEATS "WHITE STUDENT......"NI KATIKA KUONGEZA TU MIJIHASIRA NA UBAGUZI KWA WEUSI .....

  YAANI INAFIKIA WAKATI HATA MWANAO UNASHINDWA KUMSHUHULIKIA KWA FIMBO AKILETA UPUUZI. NA HII HALI INAPELEKEA SASA WATOTO WENGI KUKOSA ADABU, KUTUMIA LUGHA ZA HOVYO, NA HATA WENGINE KUWA WAHALIFU NA MASHOGA KWA KILE WANACHO SEMA WAO NI UHURU WA KUTOINGILIWA NA MTU!!.
   
 4. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #4
  May 15, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Ngoshwe,

  Nadhani huyo mwalimu should have known better. Ukiwa dunia fulani inabidi uwe aware na mazingira yako pamoja na mijitu inayokuzunguka. Hilo ni kosa lake hawezi kulikwepa na hilo jimama limesema limepania kumburuza kortini. Hio imekula kwake.
   
 5. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #5
  May 15, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,240
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Duuh! anavyo mnyatia utadhani Brce Leeee!kumbe katoto tu.
  mwache akalale kwa lupango.
  adhabu kwa mtoto siyo ngumi zipo nyingi tu.
   
 6. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #6
  May 15, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  huyo ticha anaumwa io bure
   
 7. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #7
  May 15, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Kwa Jinsi sheria za kulinda haki za wanawake zilivyo ngumu Ulaya na Marekani, wanaume huwa wanaonywa "don't hit or fight a woman". Na pengine kwa watoto ni zaidi kwani inahusu jinsia zote kuwalinda. Hapa hata kama hata mtoto akikuchapa kibao inabidi uwe mpole tu!.

  Ukisikiliza watoto wanavyoongea walipoulizwa kuhusu hiki kituko, wanasema kuwa wakati mwalimu wameamua kumrukia huyo dent mwenzao alikuwa akipwayuka "".....yo wanna fight a girl..u wannna fight a girl..." lakini akilini mwake haikumjia kuwa ".....she was also doing a grave misdemenour to fight a kid ..". Labda kwa mazingira ya kelele zilivyo hewani, ingekuwa mbaya zaidi iwapo angekuwa ni mwalimu wa kiume ameamua kuzichapa kwa staili hii na mwanafunzi wa kike ....
  Yaonyesha huyu Mwalimu ni mbabe kweli kweli kwa rekodi yake:

  Charter Teacher Who Beat Student Was Wanted
  (May 13) -- The Houston charter school teacher caught on a cell-phone video beating a 13-year-old student was wanted on a criminal mischief charge, accused of slashing a woman's tires last year.

  Sheri Lynn Davis, 40, was fired Monday by Jamie's House Charter School. However, she won't lose her teaching certificate because she never had one, the Houston Chronicle reported. Texas law states that only bilingual and special education teachers must be certified in order to work at charter schools. Davis is a science teacher.

  Davis taught at the charter school for more than a year while a warrant was out for her arrest, stemming from the alleged tire slashing in January 2009. Davis is scheduled to appear in court on that criminal mischief charge, a misdemeanor, on Tuesday, according to Houston's KRIV-TV.

  Warning: Video contains some graphic scenes.  She lost her job after school administrators saw a cell phone video recorded by one of her students in late April that showed her slapping and kicking 13-year-old Isaiah Johnson, then dragging him across the floor and slamming his head into a wall. The boy's mother, Alesha Johnson, said Isaiah suffered a black eye and other bruises in the attack.

  "There's no excuse for a teacher to behave like this," Jamie's House Charter School Principal David Jones said in a statement. "We've already removed the teacher, and we want to apologize to the student and the mother."

  Davis could face criminal charges for the latest incident, but none have been filed yet. She had worked at the school for three years without complaint, school officials told the Houston Chronicle. But the ordeal is now prompting lawmakers to re-examine screening practices for charter school teachers.

  State Rep. Scott Hochberg, a Democrat from Houston, said all charter school teachers should be certified, just like their public school counterparts.

  "There are so many avenues available to become certified that I don't think we should be allowing noncertified teachers to teach," he told the Chronicle.

  A 2007 state law mandated that all Texas schools, public and charter, conduct criminal background checks and collect fingerprints from teaching applicants. Jamie's House Charter School declined to comment on Davis' background.

  Teacher certification laws in Texas require candidates to have a bachelor's degree, complete an educator preparation program and pass certification exams. The qualifications are less stringent for charter school teachers, who are required by most schools to have a high school diploma and demonstrate competency in their subject.

  David Dunn, the executive director of the Texas Charter Schools Association, argues that certification does not necessarily prevent teachers from behaving badly.

  "There are certified teachers who misbehave," he told the Chronicle. "Certification does not equal protection. The real protection around student safety is the criminal history background checks that all public schools in the state of Texas are required to do."

  Certified teachers' certificates are available online through the State Board for Educator Certification. A teacher's certificate is flagged if he or she has been investigated by the board.
  Filed under: Nation, Crime
  http://www.aolnews.com/crime/article/sheri-davis-charter-teacher-who-beat-student-was-wanted-on-criminal-mischief-charge/19476415
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #8
  May 15, 2010
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Ulaya wapuuzi sana
  Mimi kumchapa mwanangu akiniudhi mpaka nifunge safari kwenda Tz, teh teh teh.
  Lakini teacher inaonekana alikuwa na stress za kudata data maana kwanini alimnyatia, yawezekana kima cha chini
   
 9. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #9
  May 15, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Vipi timbwili na ma msapu akikorofisha??..

  Kuna jamaa alijaribu, ma msapu akamshikia bango kisawasawa na sasa mzee imekuwa ni zaidi ya kufilisiwa kimwili na kiroho! Hana kauli tena na familia, mke wala watoto hagusi, nyumbani wakamtoa, kazini kwake mama akaharibu mbovu, CV ikachafua, kuishi kwa staili alizokuwa akitumia kale hawezi tena, ikamlazimu kuaga.
   
 10. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #10
  May 15, 2010
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Ndio vile mama sapu naye inabidi umvizie mkisafiri kwenda tz. Teh teh teh maisha hayaa tabu tuu , maana ukijidai kumnasa kibao umekwisha,
  Na hata ukitoroka inabidi usionekane tena.
  Maana hapa kuna mkenya fulani aliondoka hivyo hivyo na watoto wake wakawa wanapewa fedha na serikali, sasa huko kenya sijui mambo hayakwenda barbara ikambidi kurudi tena, alipogusa airport wazee wakamnasa bila kujitetea jela miezi sita kwanza harafu baada ya hapo ndo wapige mahesabu vizuri.
   
 11. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #11
  May 15, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ahaaa, pengine ndo mana hali ya kukoseana adabu inazidi kushamili. Sasa inaonekana kuwa wathungu wengi wanaishi na baba wa kambo (stepfathers) na ukiuliza kisa ana kujibu: ".Just my wish, ..I hate my dady, and I don't wont to see him...": Wakati Mtoto hataki kuishi na wazazi wa kumzaa (biological parents) anaona heri akae na "Partner" wa Mamake wakati huo huo Baba nae anaona bora atafute "Partner" ili asiwe karibu na mwanae hata kama huyo "partner" nae atakuwa na mtoto inakuwa afadhali kuliko mtoto wako wa kumzaa.

  Kwa baadhi ya mashoga (Gays & Lesb) wanakuambia kuwa bora waishi kiume na wanaume au Kike na Wanawake wenzao kuliko kero za kuishi na wazazi wao (kisa labda akiwahi kumwonya na kumrekebisha maisha.).
   
Loading...