TANZANIAN NINJA
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 441
- 496
Shida inakuja kwenye baadhi ya halmashauri huwa zinaitaji matokeo yako kila baada ya semester ili wajilidhishe kweli upo chuoni, hapa ndio shida inapoanzia mkuu
Mfn mzr ni halmashauri moja hapa mkoani kwa wakurya ambapo wanaishi wajaluo wengi zaidi inautaratibu huo
Hicho kitu nipo sana that why nakiomba kufahamushwa kama kunauwezekano wa kumshawishi DED
Duh hapo pa kutuma matokeo kila semester sikuwahi faham kama kuna baadhi ya Halmashauri zina utaratibu huo ila Mkuu jaribu kufanya uchunguzi hapo kwenye Wilaya yenu au kama kwenye Wilaya yenu mnakuaga na utaratibu wa kufanya vikao na K/Katibu wa TSC wilaya unaweza kumuuliza ikawa pia ni kwa faida ya wengi
Hapa kama unaweza msuli wa Open University nenda kasome maana hata karo yao sio mbaya pia ina muda mrefu wa kumaliza mfn bach unaweza kusoma hadi miaka mitano kwa vipande vipanda ila umalize ndani ya huo muda au soma vyuo vya mtandaoni navyo vipo vizuri sema inaitaji ufahamu na uwe na sehemu ya practical, wazo lingine ivunje hiyo bachelor in term of courses then nenda kasome course moja moja kama cheti/certificate ila baadae ufanye mitihani ya kuwa certified kama vile cisco, ms, etc

Kwanza nani kakuambia mtu haruhusiwi kusoma nje ya fani yake?
Mtu anaruhusiwa vizuri tu, ndo maana kuna "ReCategorization"
Unaomba ruhusa, ukikubaliwa Fresh...unaanza mchakato...Ingawa siku hivi waajiri (Mfano Serikali) wengi wanajisomesha wenyewe, mshahara ndo utakuwa unapokea.
Sasa nikuambie tu, anapewa ruhusa bila tatizo....anaenda kusomea anachotaka....Anarudi wanamBadilishia kitengo.Niliwahi soma moja ya vipengele vya standard order vinavyo husiana na kujiendekeza kwa mtumishi, katika kipengele hicho wanasema ataruhusiwa kusoma nje ya fani kama mwajiri kamtaka kusoma hiyo fani kwa maslahi ya idala. Tofauti na hapo ataruhusiwa lakini kwa kuomba likizo ya bila malipo pia atajisomesha kwa gharama zake.
Sasa sijui wanaposema likizo bila malipo wanamaanisha kutopokea mshahara kipindi cha likizo au kutolipwa hela ya likizo ?