KIKOSIKAZI
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 2,219
- 1,150
no offence commited here. The lady is above the minority and the law is silence on the boy. Sanasana ni kosa la kinidhamu kwa mwalimu na mwanafunzi. Ni aina ya makosa madogo, no need for tamwa intervention. Mwalimu mkuu au ded anaweza kutoa adhabu na sanasana ni kumhamisha mwalimu na kumpa adhabu ya kusafisha choo kwa week moja mwanafunzi.
Thats all.
Naona Dunia imegeuka sasa ni zamu ya waalimu kutembea na Wanafunzi na nadhani hata humu mmo
Baba yake atamleaHalafu mtoto atalelewa na nani?
TAWLA,TAMWA,TGNP wapo wapi?
Huyo kijana wa kiume ana umri gani??
Tena walimu wanaotoka Chou miaka hii ya karibuni ni wadogo wadogo kweli. So sishangai hata kidogo.Cha ajabu nini Tcha kapenda.
Baba yake atamlea
Ni aibu kwakweli! Mtu wa miaka25 kumvulia Nguo mtoto wa miaka17 its a shame!
Huko huko Rukwa mwanafunzi mwingine amenogewa na penzi la nguruwe