Benbulugu
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 793
- 1,136
Sikia mkuu,tatuzo waajiri hawa wakishakuona unaharakati za kimaendeleo wanakuhamishia sehemu tofauti naulipo nahata hawakulipi(hii imewahi kunitokea mm binafsi),nikakomaa wakanilipa kiasi kidogo tu nakunitishia kunifukuza kazi.wakanihamishia eneo tofauti na nilipokua ninafanya uwekezaji,kiufupi kuna changamoto ila asante kwa ushauri mkuu.Angalia halmashauri au kituo cha kazi uli ho watu wanafanya nn wasio waajiriwa simanishi ku bet hapana. Mfano kama upo makambako watu wanapanda miti na viazi. Tafuta watu wa kukuongozq chukua shamba panda viazi anzakuvitunza kwa kuiba muda wa mwajiri baada ya muda utavuna. Nunua chakula cha kutosha. Mshahara gawa nusu shamba nusu matumizi. Utakuwa unakua taratibu. Panda mazao ya kudumu huo ndiyo mtaji wako wa kustaafia. Kila ukichukua mkopo weka kwenye hilo zao la kudumu
Baada ya muda jenga vijumba vile vya matofali ya kuchoma kama upo wilayani hapo utaanza kupangisha watumishi wageni.
Kaa mbali na starehe na makundi sogozi mwisho wa siku kila mtu ataendq kwao alipotokea
Note usiache kazi inayokupa ugali utajuta. Ushauri siyo wote mzuri