Mwalimu akutwa na mwanafunzi chumbani

Kwaio form one ana miaka 17 sasa mpaka afike form 5 huyo si ndo jitu zima kabisa duu?
Mimi nilimaliza darasa la saba mwaka 2002 nikiwa na miaka 16, na kuna jamaa tulimaliza wote alikuwa na miaka 22 na alifaulu kuendelea na secondary lakini alikataa kwenda kutokana na umri mkubwa alionao hivyo mzee wake akaamua kumpeleka VETA
 
Back
Top Bottom