Ushahidi wa Mazingira upo wa kutosha,tena hiyo ni rape kabisa.Wewe hujaoa,huna mke na uko na mtoto wa kike under 18 mmejifungia chumbani kwaKo,unataka ushaidi gani zaidi?NGOJA TICHA AJIBEBE,HAPO NI MINIMUM 30 YRS IMPRISONMENT
Mtoto wa kike mwanafunzi alindwe, Ila na mwalimu alindwe pia.
Ikishatangazwa umebaka hata ikidhibitika sio hapo baadaye, anskuwa ashachafuliwa na hakuna mzazi wa kumwamin kuwafundisha wanae