Mwaliko wa ubarikio

Preta Windhoek ni hasara bibie usisahau January Akanganyila B atatakiwa kurejea shule school fees za siku hizi si mchezo wa kitoto ha ha ha.

hi hi hi.....pesa imekusanywa mwaka mzima wewe.....hebu niache nikajinywee Windhoek mie......
 
Preta Windhoek ni hasara bibie usisahau January Akanganyila B atatakiwa kurejea shule school fees za siku hizi si mchezo wa kitoto ha ha ha.

Ndugu utanifanya nipunguze idadi wa vinywaji kwa kila mualikwa! Ila kuna ukweli rafiki yangu!
 
Asante, Villa Park napo vipi? Asante saana, ila mmhhh, tunavyoponda si ndio wata tu mabweupande?!!
 
Umekuja vyema; bora umesema mapema utatumia nini; huku Mwanza tunapendelea bia inaitwa Senetor;
Vinywaji ni vya kutosha; karibuni sana!

senator beer ilitaka kunitoa roho nikiwa dodoma
 
senator beer ilitaka kunitoa roho nikiwa dodoma

Teh teh! .....
Tatizo ni kunywa bia bila kula! Huku Mwanza, nyama / kitimoto ni bei ndogo, samaki wengi - hivyo hata tukilianzisha mapema tunaenda nalo hadi kieleweke.
 
duh! Ningekuwa cjachoshwa na hii mimba ningetokelezea pande hzo, nimetamanijee kumjua hata mmoja wa wa hum jf!!
 
Back
Top Bottom