mwaliko Pliiiiz!??

beibe nasty

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
1,640
Reaction score
525
za leo waungwana , hamjambo sasa jaman mwenzenu leo miguu inawasha inaamaana lazima safari iwepo sasa bas najua leo sikukuu nialiken basi jaman mi nipo mza ivo loooh ila kuna kammvua hapa nipo kwa bed tuuu kimyaaaa. Sasa anzen basi kuporomosha mialiko wa kwanza kunialika ndo ntakaeonana nae pliiiiiz
 
mh, mambo shost. me mwenyewe nipo kwa bed. kimvua nacho c haba afu sijapata mwaliko hata kdg. kama vp tumzukie mmeo. . . kajikausha kweli wakati hii siku ya leo inamuhusu sana lol!
 
mh, mambo shost. me mwenyewe nipo kwa bed. kimvua nacho c haba afu sijapata mwaliko hata kdg. kama vp tumzukie mmeo. . . kajikausha kweli wakati hii siku ya leo inamuhusu sana lol!

Heheee umeona eeeh ngoja nimtafute kwa hewa
 
mh, mambo shost. me mwenyewe nipo kwa bed. kimvua nacho c haba afu sijapata mwaliko hata kdg. kama vp tumzukie mmeo. . . kajikausha kweli wakati hii siku ya leo inamuhusu sana lol!

Uko sahihi kwa A-Z but hali halisi ya Rock ciry ishavuruga roll network ya itifaki coz bogi limeanza kutema early mornin , hadi hivi nachart bado haijakatika, maandalizi kibao yamevurugika, waalikwa kibao washa'postpone invitetion, so tutaipangia siku nyingine kui'cover.
 
Hii sikukuu haina mzuka kabisa.....

Umeiona eeh! Tena kama Mwz ndo kabisaa! Bogi nonestop since mornie !
Bora kila mwenye mazgo yake akazukenae mi nadhani , na hii mvua inahamasisha si haba!
"kwa nini utumbo utupwe wakati wenyewe twalia ndizi ? "
 
Judgement mbona hujamwalika 'mwenzio?'

Mwenzangu mbona nnae siku zote ? Si kitu kiwezekanacho mi nikatengana nae Ujue !
Na siku ikitokea basi itakua wale walioagizwa zana kwa masangoma wamepita nayo!
Au una maana ya "mwenza" ?
 
Last edited by a moderator:
Umeiona eeh! Tena kama Mwz ndo kabisaa! Bogi nonestop since mornie !
Bora kila mwenye mazgo yake akazukenae mi nadhani , na hii mvua inahamasisha si haba!"kwa nini utumbo utupwe wakati wenyewe twalia ndizi ? "

Umemsoma charminglady hapo?
Anakwambia muda muda bado. . ..
 
Last edited by a moderator:
naenda zangu tafuta hotchair mie.... karibuni
 

Leo mimi nitakuwepo Tilapia majira ya jioni...karibu tujumuike pamoja katika mlo wa jioni.
 
mamma nipo rum tuu hebu nipe mchakato nijilipue mie
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…