Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,972
- 22,933
Acha kuogopesha wahitajiSema unataka kujua radha ya singo maza ni watamu
acha wivu kisatu upo nanjilinjiAngalien single mama kuna dada kachomwa moto msikubal ofa
Mbona unataka kuharibu offer?Angalien single mama kuna dada kachomwa moto msikubal ofa
Mhh😂🏃♀️Nahitaji kukutana na single mother yeyote ili tupate pamoja lunch na kumbadilisha mawazo pamoja na kuombeana.
Gharama za lunch ni juu yangu, aliye tayari aje pm tufanye appointment.
Offer hii ni kwa single mother yeyote aishie Dar. Wale wa mikoani msijisumbue.
Karibuni.
Awe na shepu ya kichaga ama kimbulu sibagui ilimradi tu ni single motherAwe n msambwanda tani ngap😀😃
Utakuja?Mhh😂🏃♀️
Bahati mbaya mimi sio single mother 😂Utakuja?
Are you married?Bahati mbaya mimi sio single mother 😂
Damn😂🏃♀️ bado mapemaAre married?
Sio mbaya hata ukiwa married utaombewa tu
Sawa nitakuweka katika list ya maombezi ukinishirikisha hitaji lakoDamn😂🏃♀️ bado mapema
Kuweki makini na mafisi nyie single maza. Fisi ni viumbe wabaya hawafai katika jamii. Mbali na kuongoza nchi wanawatumia kama farasiAwe na shepu ya kichaga ama kimbulu sibagui ilimradi tu ni single mother
HahahaSawa nitakuweka katika list ya maombezi ukinishirikisha hitaji lako
Lunch wapi? Kwa Mariam Biriani?Nahitaji kukutana na single mother yeyote ili tupate pamoja lunch na kumbadilisha mawazo pamoja na kuombeana.
Gharama za lunch ni juu yangu, aliye tayari aje pm tufanye appointment.
Offer hii ni kwa single mother yeyote aishie Dar. Wale wa mikoani msijisumbue.
Karibuni.