Mwakyembe yamkuta kura za Maoni

Mwakyembe yamkuta kura za Maoni

Mi nimeleta kma nilivyoona!!
Sasa kama hata hakupata mda wa kueleza atafanya nini ni nani atamchagua sasa
Wenzake wamepata nafasi so watachaguliwa.
Halafu huyu jamaa alificha mambo mengi kwenye ile ripoti ili kulinda wa juu zaidi sasa kwanini tumuamini
 
Yule Jembe wa ile kamati iliyomvua ukuu Mmasai yamemkuta kwenye kujieleza kura za maoni za ubunge huko jimboni baada ya kuzomewa vibaya na watu waliohudhuria tukio hilo mpaka ikabidi asepe kwa aibu. Huku watu wakimuimba Fisadi!!Fisadi!!

Acha utoto wewe, nenda kwenye jukwaa lenu la wanyakyusa FB, kafanyie ujinga wako kule!
 
Jembe limegonga mwamba limemeguka! Linahitaji kunolewa, ila sasa hadi atuambie pesa za mabehewa ya treni amekula na nani?
 
Yule Jembe wa ile kamati iliyomvua ukuu Mmasai yamemkuta kwenye kujieleza kura za maoni za ubunge huko jimboni baada ya kuzomewa vibaya na watu waliohudhuria tukio hilo mpaka ikabidi asepe kwa aibu. Huku watu wakimuimba Fisadi!!Fisadi!!

Weka picha/video
 
Tumeambiwa waliokatwa CCM urais ni makapi........Mwakembe nae makapi tu kama Mwandosya na Jaji ramadhani na Pinda na Bilal na Lowassa..........Au vipi??!!

Hehehehehee.......Siasa za CCM bana.

acha kujifanya hujui ww. Aliyekatwaa ccm anajulikana ni mtu mmoja tu na hilo ndio kapi.
Hao uliowataja hawakukatwa bali hawakupita kwenye mchujo.

Kapi lilikatwa mwazon kabisa
 
acha kujifanya hujui ww. Aliyekatwaa ccm anajulikana ni mtu mmoja tu na hilo ndio kapi.
Hao uliowataja hawakukatwa bali hawakupita kwenye mchujo.

Kapi lilikatwa mwazon kabisa

Du hao wengine walikatwa wapi? ama kweli kumbe kuna wengine Beleshi wanaita Big Spoon
 
Yule Jembe wa ile kamati iliyomvua ukuu Mmasai yamemkuta kwenye kujieleza kura za maoni za ubunge huko jimboni baada ya kuzomewa vibaya na watu waliohudhuria tukio hilo mpaka ikabidi asepe kwa aibu. Huku watu wakimuimba Fisadi!!Fisadi!!

Leta picha pls
 
Sie wana kyela tunajua Mwakyembe hakubaliki kwa sasa.Hata ccm wenyewe wanajua wakimpitisha kwenye kura za maoni basi jimbo wameliuza.
 
Kuzomewa ni kawaida sana maana haiwezekani upendwe na watu wote.
Kesho ndo tutajua mbivu na mbichi.
Kyela needs new blood kuimalisha uchumi wake kwenye cocoa mawese mpunga na uvuvi

Mkuu welcome back bro...Good to see you ulipotea loong time.
 
Back
Top Bottom