SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,028
- 5,355
Hawa jamaa zangu wanafurahisha sana. Ndugai alijisahau akafikiri amekalia kiti cha spika, sasa hukumu inamsubiri.
Alibeba na Singa kabisa aka Gongo/Rungu
Hawa jamaa zangu wanafurahisha sana. Ndugai alijisahau akafikiri amekalia kiti cha spika, sasa hukumu inamsubiri.
lowassa noma kawanunua hadi wana kyela
Mimi huyu mwakyembe nitarudisha imani kwake siku tu
atapoyasema yale ambayao hakuyasema
(kwenye kamati teule ya bunge)
kwaajili ya kulinda hadhi na hsehima ya serikali.
vinginevyo na azomewe tu...maana hakuna namna nyingine.
Wenzako wanaleta matokeo ya kura za maoni, wewe unakazama kutuletea kelele za kuzomea.
Funguka angalao kidogo mwakyembe wanamkubali hawamkubali?[/QU nilikuwa kyela jana na nikahudhuria mkutano wa kata ya mwanganyanga, kiukweli muheshimiwa ilibidi asiongee hiyo zomea zomea na kwa vile kata ziko karibu karibu hali ilikuwa hivyo kwa kata zote za mijini. Sijui bush kukoje ila mjini centre hana chake. Mjini ni kipija tu au wa chadema mwanyamaki. Akiwekwa mwakyembe jimbo limeenda ukawa
acha ushabiki usio na maana mwakyembe jembe
Wananchi wa sasa wameerevuka sana!!,wamekuwa na uelewa kuzidi hata wanao waongoza.Yule Jembe wa ile kamati iliyomvua ukuu Mmasai yamemkuta kwenye kujieleza kura za maoni za ubunge huko jimboni baada ya kuzomewa vibaya na watu waliohudhuria tukio hilo mpaka ikabidi asepe kwa aibu. Huku watu wakimuimba Fisadi!!Fisadi!!
Sisi ndio tunazipenda hizo kelele!! Kama inakukera usingefungua na kucomment, ungesubiri matokeo ya kura za maoni!!
Jamani hawa wanaosambaza sijui mwakyembe kazomewa n mashetani yaametumwa msipate shida jamani kura za maoni ccm n kesho kwahyo msisumbuke na hao jueni wanamuogopa ndio maana wanakesha kumchafua but huyo ndie waziri mkuu
Mmmmh,
Ni hiyo avatar nimeipa staha tu.
Kama kweli akihukumiwa ntashangaa, kufikishwa mahakamani sio issue, issue ni haki mahakamani.Hawa jamaa zangu wanafurahisha sana. Ndugai alijisahau akafikiri amekalia kiti cha spika, sasa hukumu inamsubiri.