Mwakyembe yamkuta kura za Maoni

Mwakyembe yamkuta kura za Maoni

Wewe ni muongo na utahukumiwa hapa hapa duniani,mimi nipo hapa kyela kwetu wiki nzima,hatufikirii kumpa ubunge mtu ambaye tunamuamini na jembe kama mwakyembe,ili amchanechane vipande lowasa kwa kusema ukweli kubusu ufisadi,huyo tundu lisu na profesa safari wanaujua moto wa mwakyembe,mna wakati mgumu bado

Hueleweki tulia jieleze vizur!
Unaruka ruka ka maharage! !
 
Walio mzomea wote vijana wa chadema bodaboda atapita tu yule japo hajawafanyia maendeleo

Ndugu yangu tulioko huku kyela tunajua Mwakyembe anavyopendwa na hakuna badala wake,hao wagombea wenzake 9 walikodi vijana wa.chadema ambao waliwanywesha viroba ndio wakaleta fujo
 
mwakyembe toka akane yale maandishi yake nimemtoa kwenye listi ya watu makini...azomewe tu hakuna namna.
 
Ndugu yangu tulioko huku kyela tunajua Mwakyembe anavyopendwa na hakuna badala wake,hao wagombea wenzake 9 walikodi vijana wa.chadema ambao waliwanywesha viroba ndio wakaleta fujo
unaandika uongo hapa kwa faida ya nani ?
 
kimawazo na kwa hoja , hata hivyo udhaifu huu husababishwa na njaa , kwahiyo bila shaka kifedha pia mko hoi .

bila shaka unamatatizo ya akili..
Hizo hasira za ugumu wa maisha na mategemeo ya kukombolewa na wanasiasa vitakkumaliza..

Mtu mwenye akili timamu huwez kuamin na maada hyo haina kichwa wala miguu.
Mtu mzima kama ww unakaza shingo na makalio kuamini uozo huo??
 
Mwakyembe anatakiwa kujibu tuhuma, za sababu zilizomfanya ashindwe kumuhoji lowassa, je ni simu kutoka ngazi za juu?hii dhambi itamtafuna daima

Hilo ndo swalo kila siku najiuliza....kwa nini hawakumhoji mtuhumiwa lazima kuna agenda nyuma ya pazia..mkuu
 
Kura za maoni ukawa zingekuwa mbele ya ya kura za maoni ya ccm..na uhakika watakao katwa kesho wengi wangekimbilia cdm kwa wingi sana
 
Back
Top Bottom