Mwakyembe yamkuta kura za Maoni

Mwakyembe yamkuta kura za Maoni

Mwakembe alikumbatia sana sereka akasahau jimboni kwake sasa ukawa watachukua like jumbo.
 
Siku za mwisho zilizotabilika kwa vyema ambavyo vimewanyonya wananchi kwa muda mrefu. Mtaishia bafuni na goli la mkono
 
Magufuli rais, mwakyembe wazir mku= lowasa ICU

kwa stail ile waliomkalibisha kikwete ukumbini DODOMA kwa mwimbo wa "tunaimani na lowasa......." uniambii kitu. robo3 ya ccm wanmtaka lowasa. hawataama chama. watakaa huko huko. watamfanyia Kampeni Magufuri ili kupata pesa ya mboga. lakini octoba kula kwa lowasa. patamu hapo. hii ni kuwapa fundisho wale wanaoona ccm ni mali yao na wanaweza kufanya watakalo. soma alama za nyakati.
 
Mimi huyu mwakyembe nitarudisha imani kwake siku tu
atapoyasema yale ambayao hakuyasema
(kwenye kamati teule ya bunge)
kwaajili ya kulinda hadhi na hsehima ya serikali.
vinginevyo na azomewe tu...maana hakuna namna nyingine.

Aliyoyabakiza ni vigumu kuvileta vinamhusu Mkuu wa Kaya na juzi EL kaweka peupe...........
 
Pole zake.. niliona hiyo video jana.. anastahili manake nae alikua kinara katika kukanyagakanyaga rasimu ya warioba

kuna vitu vingi vinawanyonga hawa jamaa. yaani ni kama kifo cha nyani....... kila kona chalii mpaka wengine wanakuwa mabondia wakati sheria wanazijua. HII NI KUTHIBITISHA KUWA HALI TETE. WAJIPE MOYO TU. LAKINI MWAKA HUU... NI HISTORIA ITAJIANDIKA
 
Wewe ni muongo na utahukumiwa hapa hapa duniani,mimi nipo hapa kyela kwetu wiki nzima,hatufikirii kumpa ubunge mtu ambaye tunamuamini na jembe kama mwakyembe,ili amchanechane vipande lowasa kwa kusema ukweli kubusu ufisadi,huyo tundu lisu na profesa safari wanaujua moto wa mwakyembe,mna wakati mgumu bado
 
Mwakyembe hawezi kumshinda kamanda Mwanyamaki , hata awalipe hela wakazi wote wa kyela .
 
Yule Jembe wa ile kamati iliyomvua ukuu Mmasai yamemkuta kwenye kujieleza kura za maoni za ubunge huko jimboni baada ya kuzomewa vibaya na watu waliohudhuria tukio hilo mpaka ikabidi asepe kwa aibu. Huku watu wakimuimba Fisadi!!Fisadi!!
kile kiwanda cha kusindika kokoa na ile mashine ya kisasa ya kukoboa mpunga pamoja na soko la mchele la marekani alivyowaahidi wanakyela mwaka 2010 viko wapi ?
 
Wewe ni muongo na utahukumiwa hapa hapa duniani,mimi nipo hapa kyela kwetu wiki nzima,hatufikirii kumpa ubunge mtu ambaye tunamuamini na jembe kama mwakyembe,ili amchanechane vipande lowasa kwa kusema ukweli kubusu ufisadi,huyo tundu lisu na profesa safari wanaujua moto wa mwakyembe,mna wakati mgumu bado
Sasa kama hamfikirii kumpa ubunge atamchanachana vipi Lowasa? Naona mmechanganyikiwa hadi mnaandika vitu msivyovijua
 
Nimeshindwa namna ya kuweka video ya tukio mngeona but ninayo hapa

Nenda kwenye YouTube halafu apload ukiisha ipata ile address utaitumia kutuwekea hiyo video hapa JF ili tuondoe hizi longo longo
 
Mimi mwwnyewe nimeiona sema MB 20 kubwaaa
 
Hajawahi kuwashukulu wananchi kwakuwatumikia pia nakuwaomba lidha tena kugombea tena tumeona wabunge wenzake wakiwashukuru wananchi tumewaona .ahadi zake ajatekeleza
 
Back
Top Bottom