Mwakyembe: Wizara yangu imefanikiwa kuwatisha mafisadi na wezi wa mali za umma

"Kuadimika kwa kesi kubwa toka Makahama hii ianzishwe rasmi mwezi Julai mwaka 2016 kunatoa tafsiri ya mafanikio makubwa ya mabadiliko ya sheria tuliyofanya; kwamba tayari mabadiliko tuliyoyafanya yamewaogopesha wezi wote, wazoefu na wapya.
Watu kama hawa wanatufanya tuzione digrii za falsafa kuwa ni takataka kutokana na matamshi yao yasiyozingatia weledi wa taaluma walizonazo na wanazozisimamia.
 
Nimegoma kumuelewa kabisa Mwakyembe, dahhhh hivi ni Mwakyembe yuleyule ninayemfahamu?Mwakyembe wa Richmond?Aiseeee naomba kupita mimi [HASHTAG]#sipendagi[/HASHTAG] ujinga mimi#
 
Back
Top Bottom