KING COBRA
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 2,782
- 876
Msimamizi alegeze kamba watoto wapiteeeeeeeeeeeeeeeeAcha watu tufanye kazi, kama lengo lako ni mapato fuata kanuni na taratibu dhibiti mapato, sasa hata kuingiza meli tuombe ruhusa wizarani? Bandari iko wazi meli zimejaa nje, mpaka mbumbumbu fulani wizarani atoe amri ndo tufanye kazi. Watu wanamshangilia huyu mtaka msifa, subirini mtakuja kuona.
Dr. Mwakyembe, wembe ni ule ule hadi hawa jamaa wa bandarini washike adabu! Nimeagiza magari mara tatu, yaliyonikuta ni makubwa hapo bandarini. Dr. Mwakyembe kaona mapungufu hayo, wasiotaka mabadiliko waache kazi ili bandari itoe huduma za uhakika. Upuuzi mkubwa kumlaumu waziri anayerekebisha mambo.
Dr. Mwakyembe, KANYAGA TWENDE!
Nadhan una jambo binafsi, mana wengine 2naona mabadiriko lakn wee huyaoni. Funguka zaid labda utaeleweka.!Acha watu tufanye kazi, kama lengo lako ni mapato fuata kanuni na taratibu dhibiti mapato, sasa hata kuingiza meli tuombe ruhusa wizarani? Bandari iko wazi meli zimejaa nje, mpaka mbumbumbu fulani wizarani atoe amri ndo tufanye kazi. Watu wanamshangilia huyu mtaka msifa, subirini mtakuja kuona.
Acha watu tufanye kazi, kama lengo lako ni mapato fuata kanuni na taratibu dhibiti mapato, sasa hata kuingiza meli tuombe ruhusa wizarani? Bandari iko wazi meli zimejaa nje, mpaka mbumbumbu fulani wizarani atoe amri ndo tufanye kazi. Watu wanamshangilia huyu mtaka msifa, subirini mtakuja kuona.
Kwani kuomba kibali inachukua muda gani. Siku hizi kuna emails, simu na fax (Kwa Tanzania). Bandari na TRA mnajifanya Mungu watu. Mtu kutoa mzigo bandarini inakuwa ni taabu sana kwa sababu ya uzembe na wizi wenu.
Wenyeviti wa Bodi za Mashirika ya Umma huteuliwa na Rais kama unataka huyo Mwenyekiti wa Bodi naye aondolewe basi mshinikize Kikwete amuondoe na kama umesema kweli huo uhusiano wake na EL hilo ni tatizo kwa Kikwete na wala si kwa Mwakyembe!!Wadau tusikurupuke kumshambulia mtoa mada kuhusu wizi bandarini,kwa taarifa yenu yawezekana huyo waziri anapanga timu mpya ya kifisadi,jiulizeni ameivunja bodi lakini cha ajabu mwenyekiti amemuacha.....sijui sababu ana uhusiano na EL au sababu ni shemeji yake kamuolea dada yake unyakyusani? USANII MTUPU.
Wenyeviti wa Bodi za Mashirika ya Umma huteuliwa na Rais kama unataka huyo Mwenyekiti wa Bodi naye aondolewe basi mshinikize Kikwete amuondoe na kama umesema kweli huo uhusiano wake na EL hilo ni tatizo kwa Kikwete na wala si kwa Mwakyembe!!
makontena yanapotea kama kiberiti,maajabu mengine ya tanzania
Wewe ni lazima utakuwa mentally impaired. Hivi uozo wote uliokuwa umekithiri bandarini uliokuwa huuoni au ulikuwa unakufainisha?. Sasa mirija ya kifisadi imefungwa na Mwakyembe. Endelea kulalamika wakati Mwakyembe anasonga mbele.mwanzoni nilidhani Mwakyembe ni mtu makini alipoanza kukurupuka kwa kila jambo nikadhani labda ni ulmbikeni wa uwaziri baada ya kutoka kwenye ugonjwa mkubwa. Lakini sasa nataka kuamini kwamba anapenda cheap popularity. Kwa nini hafanyi uchunguzi wa mambo kabla hajatenda jambo.
Ajiandae kuumbuka muda si mrefu kwa kuwa maamuzi yake mengi ni ya sifa sifa tu hayazingatii uhalisia. Akipuuza haya yetu macho mbona karibu goma litapasuka!
Utasikia sasa hivi ohh wananihujumu ohh wananishauri vibaya ohh walinidanganya.
Amemsikia mwenzake muhogo huko anavyoweweseka, kama yuko juu ya jiko la mkaa anawiva.
Inaaikitisha kwa ma Dr. Na maprof. Wetu, siasa siyo fani yao, hao.