Mwakyembe unataka kutuaminisha kuwa maamuzi kesi ya richmond serikali ili mbeba Lowasa!!!

1:Ili mbeba = ilimbeba,

2:atua = Hatua,

3:Ushaidi = ushahidi,

4:adharani =Hadharani

5:Utatuakikishia = utatuhakikishia

6: ubadhilifu =ubadhirifu

7:. mweshimiwa = mheshimiwa

8:Alishugulikie = alishughulikie

9: tayali=tayari

10: inatuonyesha =inatuonesha

Makosa mengi ya harufi hadi uvivu, siyo lazima kuandika habari, unaweza kubaki msomaji ili JF itabaki na hadhi yake!!
Faiza Fox Effect at work
 
Ujumbe ndiyo muhimu
 
Harufi.. Herufi
 
Ujumbe ndiyo muhimu
Baki kuwa msomaji tu ,hakuna cha ujumbe muhimu wala nini!nyie hamkosei bali hamjui lugha adhimu ya kiswahihili muache kukinajisi kwa misamiati yenu ya ajabu!
Kwani kuna tabu gani ukitumia walau dakika moja kupitia maaandishi yako kabla hujawasilisha humu?
Cc Faiza Foxy
 
Naamini kabisa kwamba Lowassa alipojiuzulu uwaziri mkuu, alikuwa anapisha uchunguzi ufanyike na sheria ichukue mkondo wake, lakini serikali ilishindwa kupata ushahidi wa kumpeleka Lowassa mahakamani, hata mzee wa vijisenti msisahau, leo anatesa bungeni, pia naamini Lowassa yuko tayari kupelekwa mahakamani hata sasa hivi, lakini nyuma yake kutakuwa na serikali yote ya chama cha mapinduzi kuhusika na wizi huo, usione wananyamazia, wote kuanzia wa juu kabisa mpaka wa chini wanahusika, hakuna mwema hata mmoja.
 
Lowassa hahusiki direct, alipopewa uwaziri aliikuta richmond, na alimwambia jk waiondowe italeta noma akamkatalia, tena zaidi ya mara moja, na huo ndo ujasiri wa Lowassa
 
Baki kuwa msomaji tu ,hakuna cha ujumbe muhimu wala nini!nyie hamkosei bali hamjui lugha adhimu ya kiswahihili muache kukinajisi kwa misamiati yenu ya ajabu!
Kwani kuna tabu gani ukitumia walau dakika moja kupitia maaandishi yako kabla hujawasilisha humu?
Cc Faiza Foxy
Asante kwa kunisaidia kuwaonya majambazi wa lugha yetu!!
Ni majambazi hao, kama ingekuwa pesa iliyo ki makosa(ki kharamu ) namna hiyo angefungwa kifungo cha jambazi!
 
Kama kunan ambao bado wanatumika na CDM kama mtaj na ngazi ya wanasiasa ua lost. Ukwel cdm n waongo, wabaguz na wanafk vjana tunatumika vbya. Walmchafua Lowasa ndan na nje ya nch how comes alvyo join cdm akapewa nafas ya kugombea urais?
 
Naona kama Mh Mwakyembe amefika mahali pabaya. Ni juzi tu Mh Rais alifuta agizo lake la kukataza watu wasifunge ndoa kama hawana vyeti vya kuzaliwa. Kama Rais asingefuta hilo agizo nchi ingekuwa na tatizo la ziada la kijitakia. Sasa anasema ushahidi alionao kuhusu Lowasa unatosha kumfunga. Mwakyembe ni mwanasheria. Anajua kuficha ushahidi ni kosa la jinai. Anatangazia ulimwengu kwamba ana ushahidi wa kumfunga Lowasa lakini anauficha. Nadhani anazeeka vibaya.
 
Kosa ni Mwakyembe au bunge lililoshindwa kumwajibisha Lowassa baada ya kukimbilia kuachia uwaziri mkuu? Maana Mwakyembe alitoa ripoti kama alivyoagizwa na Bunge, lakini bunge halikutoa maamuzi au kuishauri serikali hatua sahihi za kuwachukulia wahusika.
Mwakyembe betrayed us pale alipoficha ukweli kwa kuhofia serikali kuanguka. Alificha kwa maslahi ya nani?
 
Lowassa alijiuzuru cheo chake ili kupisha uchunguzi ufanyike bila ya kumwogopa, lakini mpaka leo serikali imeshindwa kupata ushahidi wa kumtia hatiani, shame on them"
 
Back
Top Bottom