Ni mapema mno kuanza kumshutumu Dr Mwakyembe............
Mambo mangapi yamepangwa kufanyika lakini hata dalili hatuioni?
Naamini watendaji wengine serikalini wakimpa ushirikiano Dr Mwakyembe soon tutaona matunda ya jitihada zake.
so na maana hukumuona alivyohangaika kuhakikisha hiyo tarehe treni zinatembea? au hujui kuwa kutotembea kumetokana na matatizo yaliyo nje ya uwezo wake! btw hizo wiki mbili ndo zinakutoa povu namna hiyo au ufuasi wako wa makundi pinzani yasiyolala kuona Mwakyembe akitekeleza ahadi zake za maendeleo!
Kizazi hiki cha wapi? Bongo? Wapi kunatokea hivyo?
watu wana upuuzi mmoja kuna mtu ametoa picha za treni za Nairobi na akaanza kukejeli kuhusu za kwetu wakati inajulikana pasi shaka kuwa Mwakyembe ametumia bajeti isiyozidi Tshs 4 bio. kuanzisha commuter trains kwa kupitia mabehewa, njia na vipuri tulivyonavyo na si vipya! Sasa badala ya kumpongeza kwa kutoa ajira na kutumia gharama kidogo watu wana CCM wa makundi (i guess) wanaanza kumfitinisha wakati huyu huyu Mwakyembe tumemuona akisaini air agreements na kutafuta wawekezaji wa Railway ya kati huko Ujerumani katika kipindi kisichopungua miezi sita tangu akwae wizara ile! na pia tumemuona huyuhuyu Mwakyembe akiwaajibisha watu mafisadi katika mashirika na pia tumemuona akikataa ku-extend leasing agreement ya aircraft za ATC toka Dubai firm kwa vile zilikuwa hazina manufaa! Kusema kweli kuna watu wanaudhi na huwa sidiriki kusita kuwatukana maana akili zao nathani ni punje ya mchele! Wamuache jamaa afanye kazi zake kwa nafasi tunajua hata bandari inatengamaa kwa kasi ya ajabu! Mie nina uhakika kwa usimamizi wa mwakyembe hata haya mabehewa tutakayotumia yanaweza kununua mabehewa mapya kabisa mbali na njia za usafiri (reli) kupanuka!Mkuu GEZA ili ndilo tatizo kubwa la mindset za Watanzania tulivyo, hivi raia ambaye yuko in his/her right mind anaweza kweli kuanza kumdhihaki/kumbeza mtu mzalendo kama Mwakyembe!!!
Hizi tabia zilizo kubuhu ndani ya nafsi zetu za kutafuta kila njia kumkatisha tamaa mtu anayejituma sana na mfatiliaji wa hali ya juu kuna hashiria nini?? Kwamba Watanzania tumeanza kukosa utu na kushabikia vyama tu as if chama kingine kikitawala ndio utakuwa muarobaini wa matatizo yetu, tunashindwa kutoa pongezi au kitia moyo watu/viongozi wanao jituma, tunakuwa blinded na chuki tu za vyama fulani mpaka tunasahau uzalendo.
Wakati mwingine tunapaswa kujifunza kutokana na matatizo yaliyo wakumba wenzetu kwa kufanya makaso kama haya haya yanayo inyemelea nchi yetu, ntatoa mifano ya nchi mbili ili tujifunze kitu.
- Ya kwanza ni URUSI.
Warusi walifanya blunder ya kutaka kuondoa uongozi wa kikominisiti kwa njia yoyote ile, yaani walikuwa hawasikii la mtu kuhusu hilo, niliwahi kuwauliza hivi kwa nini mnachukia Uongozi na chama namna hiyo wakati Uongozi huu ndio uliweza kuifanya URUSI mpaka ikawa Super Power, inawezekana Viongozi wakawa na mapungufu yao kama binadamu, lakini hii radical change mnayotaka inaweza kuwa cost an arm and leg at end of the DAY - wakasema sisi tunataka mabadiliko they have had enough of communist party - miaka 65 waliokaa madarakani inatosha sana!
Nikawauliza hivi huyu Yelstin mnaye mshabekia mbona wanasema ni mlevi sana, wakasema sisi hilo hatujali tunacho taka ni mabadiliko, Yelstin hata kama ni mlevi atakuwa na wasaidizi wa kumuwezesha kuendesha nchi bila matatizo, sitaki kurudia yaliyo tokea URUSI baada ya Yelstin kupata madaraka - lakini kipindi chake madarakani nchi ikavurugika, jeshi lao likakosa vipuri, mafia wakawa ndio kama wanaongoza nchi, Urusi ikarudi nyuma kimaendeleo na kijeshi kwa kasi ya kutisha na infact tukiwa wakweli ni kwamba URUSI karibu ifilisike licha ya kuwa na natural resources lukuki, Mungu bariki kaingia Putin ndio sasa Urusi inajikongoja kujaribu kurudi kwenye nafasi yake iliyo kuwa imepotea kwa kukosa kutafakali MAMBO. Nataka nieleweke kwamba hapa sio kwamba nashabikia chama chochote, mimi natoa angalizo tu kwamba wakati mwingine tunapaswa kuwa makini sana katika mahamuzi yetu, ushabiki tu hautatufikisha mbali.
- Ya pili ni ZAMBIA.
Nayo kama ilivyokuwa URUSI walitaka mabadiriko bila ya kujali kundi ambalo linataka kupewa mabaraka lina viongozi gani, Wazambia nao walikuwa wanasema maneno hayo hayo ya Warusi kwamba hawajali kiongozi wao kama amesoma au la cha muhimu eti "is a good ORATOR" na ni kiongozi peke yake jasiri wa kuweza kum-teach a lesson Mzee Kahunda!!! Na kweli Chiluba aliwahi kumfunga Kahunda mpaka Kambarage akapaswa kuingilia KATI, lakini Zambia je ilikuwa katika hali gani baada ya Chiluba kushika usukani - niliwahi kwenda Mpika wakati huo nikakuta wafanya kazi kwenye workshop wanakula mahembe!! Hawana chakula wala ada za kuwalipia watoto wao kwenda shule - nchi ilikuwa katika hali mbaya sana, Zambia was no longer under the SUN.
Nimalizie kwa kusema kwamba sio vizuri kuwakatisha tamaa viongozi wanao jitahidi kutukwamuwa, partisians not withstanding, kumbuka Tanzania ni yetu wote - mwenyekiti MAO aliwahi kusema kwamba mtu usijali ni paka mweupe au mweusi cha muhimu ni yupi yuko mahili kukamata panya.
Mkuu GEZA ili ndilo tatizo kubwa la mindset za Watanzania tulivyo, hivi raia ambaye yuko in his/her right mind anaweza kweli kuanza kumdhihaki/kumbeza mtu mzalendo kama Mwakyembe!!!

KLM wanaposema ndege itaruka saa 11:45 basi tegemea saa11:40 ndege itaanza kutembea tayari kuelekea njia ya kurukia. Haya ndio matarajio ya kizazi hiki. Kama kuna hitilafu, tutatangaziwa ndani ya muda wa kutosha kuwa ile ndege iliyokuwa iruke saa 11:45 sasa itaruka saa 12:45...hakuna longolongo.
Mwakyembe ulisema treni zako zitaanza 'kuruka' Oktoba. Sasa kwa akili ya haraka, kama hujataja tarehe sisi tunachukulia Oktoba mosi. Leo unasema, "Nipeni muda wa miezi sita ili muweze kuona sekta ya reli itakavyokua imekamilika nchini.... "Unataka kutuzuga kuwa sio Dar bali nchi nzima hivyo tuendelee kusubiri kwa matumaini. Hii lugha haipishani na ile ya kiranja wako Pinda ambaye kila siku anakariri, tumejipanga........
Tena unaongeza bila aibu, Tuacheni tufanye kazi na nyie endeleeni kutunga ngojera kuhusiana na usafiri wa reli lakini sisi tunajua tunachokifanya kwani niliposema usafiri wa reli unaanza mwezi Oktoba sikumaanisha utaanza Oktoba Mosi kwani hata Oktoba 15 ipo ndani ya mwezi huo huo. Ndio lazima tuchonge ngonjera kwa sababu umekuwa mwongo!!! Kama hukumaanisha Oktoba mosi, sema sasa Oktoba ngapi na uache kujingata ulimi kwani heshima yako inaanza kushuka kwa kasi.

Ni mapema mno kuanza kumshutumu Dr Mwakyembe kwa kutoanza kwa usafiri wa treni Dar. Mambo mangapi yamepangwa kufanyika lakini hata dalili hatuioni? Naamini watendaji wengine serikalini wakimpa ushirikiano Dr Mwakyembe soon tutaona matunda ya jitihada zake.
Post yako imeniboa kwa sababu sijaongelea itikadi ya chama hapa, na unajuaje kwamba mimi sio gamba? Na hili ndilo tatizo la mindset za waTz wazembe kufikiri wanaona kila mkosoaji ni mpinzani (kama walivyomtundika filikunjombe)
In short, huyu unayemsifia kuwa mtendaji hajatenda na ndio maudhui ya thread hii. Ondoa takataka za siasa zilizojaa kichwani mwako na uzingatie deadlines
Ukiwa CHADEMA hatutegemei zuri lolote toka kwako na ngonjera ziendelee tu!KLM wanaposema ndege itaruka saa 11:45 basi tegemea saa11:40 ndege itaanza kutembea tayari kuelekea njia ya kurukia. Haya ndio matarajio ya kizazi hiki. Kama kuna hitilafu, tutatangaziwa ndani ya muda wa kutosha kuwa ile ndege iliyokuwa iruke saa 11:45 sasa itaruka saa 12:45...hakuna longolongo.
Mwakyembe ulisema treni zako zitaanza 'kuruka' Oktoba. Sasa kwa akili ya haraka, kama hujataja tarehe sisi tunachukulia Oktoba mosi. Leo unasema, "Nipeni muda wa miezi sita ili muweze kuona sekta ya reli itakavyokua imekamilika nchini.... "Unataka kutuzuga kuwa sio Dar bali nchi nzima hivyo tuendelee kusubiri kwa matumaini. Hii lugha haipishani na ile ya kiranja wako Pinda ambaye kila siku anakariri, tumejipanga........
Tena unaongeza bila aibu, Tuacheni tufanye kazi na nyie endeleeni kutunga ngojera kuhusiana na usafiri wa reli lakini sisi tunajua tunachokifanya kwani niliposema usafiri wa reli unaanza mwezi Oktoba sikumaanisha utaanza Oktoba Mosi kwani hata Oktoba 15 ipo ndani ya mwezi huo huo. Ndio lazima tuchonge ngonjera kwa sababu umekuwa mwongo!!! Kama hukumaanisha Oktoba mosi, sema sasa Oktoba ngapi na uache kujingata ulimi kwani heshima yako inaanza kushuka kwa kasi.
Nakuheshimu sana mkuu wangu kwa nguvu ya hoja zako,lakini ukitokea sredi inayomzungumzia Mwakyembe huwa sikuelewi kabisa! Mwakyembe ana uzalendo gani kama siyo kujitafutia umaarufu wa kilofa?! Ktk wizara yake ameisha chemka,ataondoka 2015 mikono mitupu kama watangulizi wake.
Kwani hayo malori yatabeba abilia au yanabeba mizigo.yy mweshimiwa anasema kuwa mabehewa ni ya abiilia wala sio mizigo.sema,mwakyembe nia anayo ila riz one yale malori ya mafuta yatafanya kazi gani?
Ezekieli maige naye anamalori yanaenda mpaka kongo nayo je
?
Post yako imeniboa kwa sababu sijaongelea itikadi ya chama hapa, na unajuaje kwamba mimi sio gamba? Na hili ndilo tatizo la mindset za waTz wazembe kufikiri wanaona kila mkosoaji ni mpinzani (kama walivyomtundika filikunjombe)
In short, huyu unayemsifia kuwa mtendaji hajatenda na ndio maudhui ya thread hii. Ondoa takataka za siasa zilizojaa kichwani mwako na uzingatie deadlines
Crucifix, heri hata usihangaike na hawa wapuuzi, Tanzania haitasogea hadi mapinduzi ya kifikra yafanyike na watu kama hao walio usingizini waamshwe ikibidi hata kwa mijeledi. Ni Mwakyembe mwenyewe aliyekurupuka na kuwapa matumaini Watanzania kwa kutangaza tena kwa mbwembwe kwamba treni zingeanza mwezi Oktoba. Leo hii bila aibu na kwa jeuri ile ile waliyonayo viongozi wetu hawezi hata kuwaomba radhi waajiri wake (walipa kodi wa nchi hii) na badala yake anakurupuka na kuwabeza kwa maneno ya kihuni eti nyie endeleeni kutunga ngojera kuhusiana na usafiri wa reli lakini sisi tunajua tunachokifanya kwani niliposema usafiri wa reli unaanza mwezi Oktoba sikumaanisha utaanza Oktoba Mosi kwani hata Oktoba 15 ipo ndani ya mwezi huo huo.Mwakyembe said:Kwa njia ya reli kati ya Stesheni ya Dar es Salaam hadi Ubungo kiasi cha Shilingi bilioni 4.75 zitatumika kwa ajili ya ukarabati wa njia, ukarabati wa injini tatu za treni na mabehewa 14 ya abiria.
Fedha hizo zimepatikana na kazi ya ukarabati wa njia ya reli injini na mabehewa imeanza na inatarajiwa kukamilika Oktoba, mwaka huu na safari hizo kuanza.
Kwa hiyo, treni hizo zitakapoanza treni moja itaanzia Stesheni ya Dar es Salaam kuelekea Ubungo Maziwa na itakuwa inapishana na nyingine katika Kituo cha Buguruni kwa Mnyamani.
Treni hizo zitasimama kwenye vituo sita ambavyo ni Stesheni ya Dar es Salaam, Kamata, Buguruni kwa Mnyamani, Tabata Matumbi, Mabibo na Ubungo Maziwa na kila treni itakuwa na mabehewa sita yenye uwezo wa kubeba abiria waliokaa na waliosimama takribani 1,000 kila safari, alisema Dk. Mwakyembe.