Mwakyembe: Sikusinzia...

mimi naona watz hawana umuhimu wa kujua wazir gani yuko wizara gani au anafanya nini, hii ni kujionesha tu muhimu ni kutengeneza system yako hata kama umejifungia chumbani kila kitu kinaweza kwenda sawa.
 
Haters ni weeeengiiii kwa jambo jema. Ni lazima ujue matatizo ndo ufanye maamuzi, siyo unakula kiyoyozi, na kukiurupuka kufanya maamuzi bila utafiti. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Hongera jembe Mwakyembe!
 

Aende zake na Undumilakuwili wake. Yale aliyoyaficha wakati wa EPA/ RICH-MONDULI ndiyo yalikuwa na maslahi kwa Taifa. Aliudanganya umma kwa kubakiza mengine kifuani mwake kwa kuogopa serikali yake ya SISIEMU kuanguka. Leo anakuja na maslahi ya Taifa......tangu lini????? F*&%#~.... maslahi ya Taifa in my A.S.S
 



Nani kakwambia kua CCM ikiondoka madarakani chama kitakachokuja kitaleta neema, acha ulimbuken wewe, bado CCM ipo imara na wachapa kazi wameanza kuonyesha muelekeo, tuwape ushirikiano.
 
Sijaona ubaya wa Mwakyembe kusafiri kwa treni.
Hivi utawezaje kuhubiri ubaya wa pombe wakati hujawahi hata kuionja? tusubiri matokeo ya utafiti wake ndipo tuje na kejeri za namna hii.

utasuluhishaje migogoro ya ndoa wakati hujawahi kuoa ?kweli tusubiri
 

hiyo ni moja kati ya mbinu ama njia kabla ya kufikia maamuzi mazuri ya kutoa maamuzi.ingekuwa amefanya hivyo dr slaa ama mbowe angeitwa majina kibao mara kamanda mara jembe mara mpiganaji lakini tumewazoea kamanda shibuda anawaita watu pingapinga
 
Hii ndiyo bongo bwana; ukifanya ubaya unalaumiwa na ukifanya wema unalaumiwa pia tena kwa maneno ya kebehi.
 
Next time wabunge na mawaziri wote watumie train kwenda Dodoma kwenye vikao vya bunge. Hii inapunguza gharama za mafuta ya gari na kupunguza utorokaji wa wabunge katika bunge. Hongera sana Mwakyembe.
 
nina mashaka na wanaopinga utendaji kazi mzuri wa mwakyembe, mi binafsi nahsi wanaopinga sio wapinzani bali ni watendaji wabovu wa TRL. Mambo wanayoyafanya yanawasuta. Kaza buti Mwakyembe wananchi wa mikoa ya Tabora, Kigoma na Mwanza wanateseka mno.
 

Kimtazamo naona Mwakyembe kafanya jambo sahihi ila tunacho subiri ni ripoti ya utafiti wake na jinsi atakavyo itumia kutatua matatizo ya usafiri hapa nchini.
 
Mbona anafanya kazi kwa kutaka coverage kubwa sana ya media? anamaanisha nini

Haya pia tuliyaona kwa Ezekia Mainge alipokuwa anakimbizana na wachoma mkaa ktk hifadhi za Taifa, kumbe ilikuwa ni changa la macho. Alijitahidi sana kuficha appetite yake ya mafaranga kupitia media lkn hamu ya kula ikamuumbua.

Kwanza waziri mzima kukimbizana maporini manake nn! utawakimbiza wangapi?

Mwakyembe apande na mabasi ya mikoani aone hizo speed kama haamini. Bado meli/ boti. Bado Toyo (boda boda)
kaaazi kweli kweli!!
 
sasa wewe ulikuwa pamoja naye katika hiyo safari? vuta pls jibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…