Njowepo
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 9,710
- 2,249
"katika serikali na mashirika yetu ya UMA kwa muda mrefu Kama mwakyembe"
Sangara unaweza tuambia huo mda mrefu aliofanya kazi na hayo mashirika?
Na hii ndio tabia ya Tz kufanya kazi kwa mazoea nijuavyo yeye ni mara ya kwanza kuwa waziri kwenye hii wizara!
Au ulimaanisha matatizo kwenye mashirika na wizara zote za JK yanafanana?Such that ata solution zake zafanana?