Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,488
- 96,053
Sisi wakaazi wa mji wa Kyela ambao ni wapiga kura wako tunakuomba wewe mbunge wetu Mwakyembe uje uungane nasi katika majanga ya mafuriko ambayo yametufanya tukose mawasiliano kati ya mji wetu na wenzetu wa Ipinda na Matema.
Husikae Dar es Salaam kwani tulikuchagua ili utusaidie kwenye majanga kama haya baaba! Hatuna pa kukimbilia baaba
Husikae Dar es Salaam kwani tulikuchagua ili utusaidie kwenye majanga kama haya baaba! Hatuna pa kukimbilia baaba