Kwani ninyi mlikuwa pamoja naye wakati anapata shida ya uchungu wa kuukosa uenyekiti wa PAC?Sisi wananchi wa mji wa kigoma ... tulikuchagua kwa kujua utakuwa pamoja nasi kwenye shida na raha
Hivi sikuhizi mafuriko yanafika mpaka kwenye miinuko???. Angalia thread yako vizuri umeandika mafuriko. Lasivo badilisha kichwa cha habariHapa siyo bondeni mkuu
nakuona ukileta kejeli kwenye majanga.Sisi wananchi wa mji wa kigoma tunakuomba mbunge wetu mheshimwa zzk uje utusaidie kupata mahala pa kuishi na vyakula,maana wewe ndiye tumaini letu na tulikuchagua kwa kujua utakuwa pamoja nasi kwenye shida na raha
Kwahio niwapiHapa siyo bondeni mkuu
Sisi wananchi wa mji wa kigoma tunakuomba mbunge wetu mheshimwa zzk uje utusaidie kupata mahala pa kuishi na vyakula,maana wewe ndiye tumaini letu na tulikuchagua kwa kujua utakuwa pamoja nasi kwenye shida na raha