Mwakyembe ndani ya kanisa la Gwajima; ashukuru kwa maombi akiri kulishwa sumu!

hakuna mwenye akilin timamu wote wabwabwaji tuuuu
ni yupi anayeweza kusisimama na kuikosoa serikali????? Wanafki wote na wataaaaaaaaangamia kwa unafki wao!!!
 
Dr. Mwakyembe kasema sasa mwenyewe amelishwa sumu,vyombo vya dola vimefikia wapi katika hili. au ndo walihusika?
 
Mungu atamsiamia na atasema ukweli wote soon and very soon mambo yatakuwa hadharani.

Wahenga walisema Mwisho wa Ubaya aibu
 
Ninachoshukuru ni kuwa Mwakyembe mzima ili siku ya siku ikifika ayatoa ya Richmond yaliyofichika
 
Ni jana tu yanayomsibu Dr Mwakyembe yalipodhihirika wazi alipojitokeza na ujumbe wake ukiongozwa na Samweli Sitta, James Lembeli, Anne Kilango, Makonda na watu wengine viwanja vya Tanganyika parkers na kutamka wazi kuwa alilishwa sumu!.

Nimeamini ni kwanini Serrikali ilikuwa inapiga chenga kutoa ripoti yake kwa kukwepa maswali ambayo yangeipasua ingawa bado hawajakwepa hili jambo lakini nakaa najiuliza,
1.ALIYEMLISHA SUMU NI NANI?
2. ALIMLISHA SUMU KWA MINAJILI IPI?
3.IWAPO HWAHUSIKA WATAWEKWA WAZI AU KA TUNAWAJUA TUWAFANYE NINI?

Hatima ya Dr ni ipi na je nani ataishi milele katika uso wa dunia hii?

naomba kuwasilisha!
 
inmaonekana now watakao amua nani awe rais wa TZ 2015 wako makanisani tu....

na ndo maana wote wako bize na makanisa....

interesting now kuna makanisa yanamsafisha Lowassa na kumtangaza the next President....

sijui Lowassa akishakuwa Rais wa Tz

Sitta na Mwakyembe watalia kilio gani.....sijui....

Watakimbilia Chama Cha Kijamii - CCK, wamefuata ushauri wa Sheikh Yahaya kuwa badala ya CCJ ingekuwa CCK wangefanikiwa. hivyo wame iandaa CCK kama kimbilio lao.
 
Shetani kashindwa, Mwakyembe bana, yani mtu ukipata ugonjwa ni shetani?
 
Nashauri baada ya kanisani, then the truth!

Hata Mungu wanayemwamini anasema the truth shall set you free!

Je mbinu ya shetani nyuma ya kutaka kumwua ni ipi?

Hilo ndilo lenye manufaa kwa anaowahubiria, its about the nation na si individuals...
 
kwa nini hawa kina mwakyembe na wenzake hawataki kuwataja hao waliowawekea sumu?
kama mtu alikusudia kukuua then umebahatika kupona,kwa nini hutaki kumtaja,sijui niseme ni woga au ni nini?
wawataje tujue moja,kama nchi itaparangika basi iparangike tu,ili kama kuna watu wa ku-hunt,tusaidiane kuwahunt na ikibidi kuwaondoa kwenye huu uso wa dunia-
 
Kuna watu wanadai ni EL, sasa sijui wamejuwa vipi na wakati inasemekana kuna taarifa ambazo Mwakyembe alificha kunusuru serikali.
 
Nashauri baada ya kanisani, then the truth!

Hata Mungu wanayemwamini anasema the truth shall set you free!

Je mbinu ya shetani nyuma ya kutaka kumwua ni ipi?

Hilo ndilo lenye manufaa kwa anaowahubiria, its about the nation na si individuals...
ukweli upi wewe unautaka tena

amesha sema kalishwa sumu kwa siri,hata yeye hajui ni nani,ila ni mafisadi ndio waliotekeleza hayo
 
Kaaaaaaaaaaaaaazi kwelikweli, Makanisa ndo yamekuwa majukwaa pekee ya kutolea matamko. Mwakyembe, Kilango na Sitta walikuwa kwa Gwajima na Lowasaa jana alikuwa kanisani pia akisafisha njia. Mambo hayo, hawa jamaa wasijefika mahala wakatumia jukwaa hilohilo kuombea kura. Ya Kaizari yapelekeni Bungeni, ya Mungu apewe mwenyewe kwenye majengo yaliyoandaliwa kwa nia hiyo.
 
Back
Top Bottom