Mwakyembe, matter of time?

Leo Rais Magufuli akiwa Kyela, ameligusia kidogo hili jambo kuwa Mwakyembe alitiliwa sumu.
Mwacheni Mungu aitwe Mungu.
P.
mkuu kuna wakati una kauonaji na utabiri ndani yako
 
Eti kapewa sumu?? Kama ni sumu basi wamepewa yeye na mkewe aliyefariki.. so sumu iliyomuua mkewe ndio itakayomuua yeye !! Sumu ni hiyo hiyo tu
 
Wewe mtu bado upo hai ?
 
Haya ndio mambo wanayotumwaga kufanya Majasusi mbali mbali. Conspiracies!
 
Paschal kweli wewe ni mtu wa Mungu. Heri wenye moyo safi. Hakika uliyotabiri mwaka 2012 yamekuwa Dr Mwakyembe tunaye hadi leo .Ubarikiwe sana. Heri wenye moyo safi.
 
Suala la Mwakyembe na Lisu linanikumbusha mambo kadhaa. Enzi za Nyerere jambo lilipokuwa likiharibika basi alilaumiwa Kawawa. Baadaye enzi za Kikwete jambo lilipoharibia walilaumiwa washauri kuwa hawamshauri Rais vizuri. Sasa hili kila tukio linalaumiwa jeshi la polisi.
 
Kinachoonekana wazi ni kwamba Mwakyembe ama kajiondoa ufahamu AMA sumu iliharibu ubongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…