Mwakyembe, matter of time?

Lkn mzee alienda kuombewa kwa Gwajima,yule wa kanisa la Ufufuo & Uzima pale Ubungo,ingawa cdhani kama itasaidia!
 
Tatiza lake lilitokea pale alipofika tatizo alilonalo mpaka alipoona mambo yamekuwa mabaya.
 

mungu wetu sio mwanadam, kumbuka mwakiembe atapona tena atakuwa juu zaidi. Hayo nimapito bado kidogo tu mwakiembe atanguruma mpaka mshangae.
 
mmh! something is wrong somewhere. mungu aitie nguvu familie yake, inauma. a nation hero is dying like an idiot.
 
Tumaniniel unajidanganya!utasubiri sana!Ninyi ndo watu wachache msioelewa nchi inakokweda.pole.
 
Ingawa hatujui siku wala saa ambayo tutaaga dunia, yote ni mapenzi ya Mungu ila kwa Mwakyembe iwe fundisho kwetu kuwa serikali yetu ni chafu sana na kama imeanza kujiingiza kwenye umafia wa aina hiyo hakuna haja ya kuamini hii serikali ya sasa. Tunawaomba viongozi wa dini masheikh, wachungaji etc watoe tamko kali kwa serikali hali hii itafikisha pabaya taifa maskini kama letu. Tunakabiliwa na matatizo mengi kwa sasa na tusipomrudia Mungu tutaisha, albino wameuwa kwa imani za kishikirikina, mabomu Gongo la mboto yamefanyika baada ya silaha kuuzwa (nchi jirani...) ili kuonyesha kuwa ni tatizo wakati hatujaambiwa ni mjeshi gani alikufa, wizi wa BOT/EPA, Rada hakuna aliyechukuliwa hatua bali hela hizo hizo kina Chenge ameua mtu bado yuko anatumbia vijisenti, mengi tu yanaonyesha jinsi damu inavyomwagika kwa ajili ya pesa na ufisadi. Mungu endelea kuibariki Tanzania isiwe na vita.
 
inasikitisha ,yani ngozi yake imekua kama ya PUMBU.in fact mwakyembe ni national security na kuna mission zingine ambazo ukipewa at the end of the TASK na wewe pia unatakiwa uwe deceased.task ya mwakyembe it is one of that kind.na inahitaji roho ya kishetani kufanya mission complete.hii si tz tu ata marekani ulaya ects sana sana ISRAEL unamkumbuka kuna waziri mkuu mpaka leo yupo kwenye koma
 
Tukiandamana kushinikiza serikali iwatafute waliofanya hayo tutauwawa na polisi kama kule Arusha, Mara na sasa Songea.
 
Leo Rais Magufuli akiwa Kyela, ameligusia kidogo hili jambo kuwa Mwakyembe alitiliwa sumu.
Mwacheni Mungu aitwe Mungu.
P.
 
Alimgusia nn kaka mana wengine tupo kijijin
Rais Magufuli amethibitisha Mwakyembe alitiliwa sumu. Uthibitisho huu unathibitisha Jeshi letu la polisi ni hopeless kwenye solving serious crimes kama hii, kama aliyetendwa hivi ni waziri na yuko serikalini, na alikuwa waziri wa sheria, DPP yuko chini yake, hawakuweza kuchunguza tukio hili, what are the chances kwa uchunguzi wa tukio la Lissu?.

P.
 
Ni kama baadhi ya matukio Manjagu hupigwa 'stop' kufanya uchunguzi.
 
Duuuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…