Inawezekana Mh Mwakyembe alikosea kuhusu amri yake ya kutaka watu wafunge ndoa wakiwa na vyeti vya kuzaliwa, ila sijajua utendaji wa baraza la mawaziri na iwapo waziri husika anaweza kuweka katazo kubwa kama hilo bila kumwarifu bosi wake. Yamkini inawezekana ila kwa approach iliyotumika sasa kutengua katazo hilo hakika ilikuwa ya kumwaibisha sana Mwakyembe, kama ni kulinda heshima inatakiwa Mwakyembe ahachie ngazi. Ingefaha sana kumwita Mwakyembe na kumwambia aje kutengua katazo lake mwenyewe, kuliko ile njia iliyotumika kumwadhibu.
Kwanza imemshushia heshima kwa umma, pia wapinzani wake watapata mlango wa kumshambulia sana.
Njia iliyotumika haikuwa sahihi.
Kwanza imemshushia heshima kwa umma, pia wapinzani wake watapata mlango wa kumshambulia sana.
Njia iliyotumika haikuwa sahihi.