Mwakyembe hali tete jimboni

Mwakyembe hali tete jimboni

Lenemwa

Member
Joined
Jan 24, 2015
Posts
15
Reaction score
13
Wakuu habari za kazi,
Leo Kata ya Ipinda wilayani Kyela kuna hali tete mpaka muda huu, kuna wagombea kumi nafasi ya ubunge kupitia CCM akiwemo Mwakyembe na Jana kampeni zilianza leo ikiwa ni mwendelezo Kata ya Ipinda.

SAA 7 wakianzia Kata ya Muungano pale asubuhi ambako Mh.Mwakyembe alizomewa na akasema wametumwa hao vijana.

Ilipofika zamu ya Kata ya Ipinda akagoma kufanyia hapo maana ndipo ngome ya CHADEMA ilipo hivyo akataka mkutano ufanyikie Lupaso ambako ni mbali kidogo. Ndipo wagombea wengine Tisa wakasusia mkutano huo mpaka muda huu hakuna kinachoendelea zaidi ya malumbano.

Tutapeana updates zaidi
 
Upande wa ccm kule kyela hakuna anayeweza kushindana na mwakyembe najua yeye ndio atasimamishwa kugombea ubunge na hakuna mgombea wa chadema anayeweza kumwangusha mwakyembe..
 
wakuu habari za kazi. leo Kata ya ipinda wilayani kyela kuna hali tete mpaka muda huu, kuna wagombea kumi nafasi ya ubunge kupitia CCM akiwemo mwakyembe na Jana kampeni zilianza leo ikiwa ni mwendelezo Kata ya ipinda.

SAA 7 wakianzia Kata ya Muungano pale asubuh ambako Mh.Mwakyembe alizomewa na akasema wametumwa hao vijana.
ivyo ilipofika zamu ya Kata ya ipinda akagoma kufanyia hapo maana ndipo ngome ya CHADEMA ilipo ivo akataka mkutano ufanyikie lupaso ambako no mbali kidogo. ndipo wagombea wengine Tisa wakasusia mkutano huo. mpaka mda huu hakuna kinachoendelea zaidi ya malumbano.

tutapeana updates zaidi

Ile million aliyochukulia fomu ya uraisi angewapoza hao vijana! Hahaha!
 
Ninavyofahamu ni kuwa Mwakyembe walishamwambia hawamtaki tena siku nyingi zilizopita
 
Mgiriki usimjdanganye Mwakyembe ili kumlia hela zame, wewe hukai kyela, Mwekyembe huku kwetu ni zilipendwa danganyaneni huko huko Dar

mkuu nilichokwambia ndio ukweli wa mambo....
Kama huniamin subir baada ya kura tutafutane,,.
 
Vip George Mwakalinga hajagombea?ni nani mpinzani wake mkuu ndani ya CCM?
 
Kuna prof wa UDSM anagombea ubunge anaitwa Mwaikambo upande wa CCM, vipi upepo unavumaje kwake?
 
Arundi chadema asije akazomewa tena maana hicho chama kimeraaniwa
 
Jamani huyu ndo waziri mkuu wetu mtarajiwa ati. Wana Kyela msituangushe tunawaomba sana.
 
hata mtera ilikua hivyohivyo mara Livingston lusinde kambwaga mzee mzima mpaka leo


Upande wa ccm kule kyela hakuna anayeweza kushindana na mwakyembe najua yeye ndio atasimamishwa kugombea ubunge na hakuna mgombea wa chadema anayeweza kumwangusha mwakyembe..
 
Wanakyela hawataki ccm sio kwamba hawamtaki mwakyembe..........
HIKI NI KIMBUNGA CHA CHADEMA..
 
Jamani huyu ndo waziri mkuu wetu mtarajiwa ati. Wana Kyela msituangushe tunawaomba sana.


Mwakyembe kupita kyela ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano hata ndani ya CCM uwezekano ni 0.009.
 
Back
Top Bottom