Mwakyembe awamaliza CHADEMA Bungeni!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kikwete alikuwa na PhD lakini leo hii analalamikiwa kwa kuifikisha Tanganyika kwenye shiiiiiiiida na ndiyo alimpa Dili la Uchakachuaji form six div zero January ahakikishe kuwa magu anaingia ikulu, Mwakyembe itabidi amwombe samahani January Makamba, Nape, Lukuvi, ole sendeka, Kinana, Agnes marwa, kibajaji, ally kessy, maji marefu na wenzo kibao ambao si wasomi.
 
Kwa ufunza wako utadai Rallphryder ni condom! Huo ndio upeo wako.
Wewe tulia usiwe mtabiri jina lako maana yake ni Aibu siwezi kukuambia sasa mpaka uzae huyo mtoto wa Mwakyembe kwanza Tambua kuwa mie najali haki za binadamu, tulia ulee mimba ya Mwakyembe kwanza acha watu tulijadili PhD feki iliyonunua mabehewa feki ikapatikana pesa iliyokupa mimba.
 
kwan elim ndo nn hata akiishia la nne ila akiwa anadai maslahi ya wananch anakubalika tu kuliko hata professor
Toka lini darasa LA NNE akawa na uwezo mzuri Wa kufikiri.....
 
Unaweza ukawa hujasoma ila kuwa ndani ya Chadema ni Shule kabisa wewe uliosoma umefanya nn?? Na umefika wapi??

Pimbi wewe
SUGU aende shule kwanza.kwani shule si bado zipo.
 
Mwakyembe yupi, au ni Harrison huyu waziri wa sheria aliyeomba mwongozo wa hovyo juzi kuhusu wabunge wa upinzani kunyimwa posho? Kama ni yeye afadhali hata ya Sugu ana uwezo wa kujenga hoja. Mawaziri walio wengi wa CCM ni mizigo.
Huyu msomi mwanasheria ndiye mpumbafu kabisa! Mara nyingi watu wanao argue kwa kujitambulisha kuwa wao ni wasomi huwa ni watu wa hovyo kabisa..mwangalie yeye mwenyewe Mwakyembe na msomi mwingine wa mbwembwe Profesa wa miamba...wote hawa ni hovyo kabisa hakuna walichokifanya cha maana!
 
Me nilifikili kawaua kumbe kaongea pumba to
 
mbona tegemeo la mipasho ccm ni Livingston Lusinde a.k.a kibajaji na ole sendeka je? wana PhD ?
Huku kwetu
..ni wachache lakini kule kwenu Elimu zao ndogo sana....huwa nashangaa sana mbunge mwenye Elimu ndogo...
 
Mbona watu kama Profesa Baregu, na hata Dr.Slaa ni wasomi waliobobea na walileta mabadiliko chanya na ambayo hadi leo tunaona matunda yake
 
Mkuu Mwakyembe si msomi bali ana PhD feki kama mabehewa feki.
 
sijaona hoja uliyojenga hapa zaidi ya kutaja majina..tukisema wasomi hatumaanishi phd..sasa unaambiwa msigwa kaishia form four,Sugu alikimbia form two..n.k hao kina Makamba na Nape walijiendeleza hadi wakafikia ngazi ya Masters
 
Lusinde ni daraja la saba lakini ni mjanja Kuliko Mwakyembe ambaye anajiita msomi wakati kichwani hana Taaluma anamiliki vyeti vya Kugushi na kununua.
Lusinde ni hovyo lakini nilikubali hoja yake kwamba CHADEMA tukimuita mtu fisadi ujue tunataka awe mgombea wetu wa urais.
 
Unaweza ukawa hujasoma ila kuwa ndani ya Chadema ni Shule kabisa wewe uliosoma umefanya nn?? Na umefika wapi??

Pimbi wewe
Mkuu umetisha kinomanoma unatuwakilisha upande wa pili big up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…