Mwakyembe apigwa changa la macho

Mwakyembe apigwa changa la macho

tume ya nini tena?? Si analisema mjadala wa afya yake umefungwa....na yeye ni gamba ambalo linatakiwa kuvuliwa, angelikwa makini, asingelikubali kuingia kwene serikali ya JK, sasa tamaa ya pesa inamuua. Nimeamini hakuna mpambanaji mbele ya pesa. alifikiri angeliweza kupambana akiwa serikalini??? nani amewahi kufanya hivyo???? afie mbali, angelikuwa muelewa angeendeleea kubaki mpambanaji nje ya serikali, nani amewahi kuipinga serikali anayoiongoza kama siyo viini mancho????
 
Tume ya nini juu ya huyu tahira mwakyembe? Mi naona Mungu angemchukua tu huyu mtu kwani ni mnafiki sana, ktk agano la kale watu kama hawa Mungu alikuwa anawaua.
 
tumemtetea kwa nguvu zote pamoja na kumwombea apone.mwisho wa siku tunaonekana wambeya wanafiki tunafuatilia afya yake amesahau kwamba hata ushahidi wa kuwekewa sumu aliupata jf mpuuzi kweli huyu alaaniwe...asitegemee tena huruma ya wananchi saizi atajibeba mwenyewe.!
 
Nafikiri hata wizara imefunga mjadala baada ya dr kuamua kuufunga. Tume ya nini tena wakuu. Hii ndo tz ya ukweli, nyingine photocopy!!.... Hili sio changa la macho tu, wamemchanganyia pilipili kwenye huo mchanga. Pole dr, ndo maisha, sasa cjui utarudisha mjadala au utapotezea???!!!
 
yani tulimwonea huruma tukamjadiri sana na tukawa na mashaka na jeshi la polisi kama yeye alivyoonekana kuwa na shaka nalo.
Lakini mara gafla ooh acheni kujadiri afya yangu acha vyombo vya usalama vifanye kazi yake.
Sidhani kama tuna la kuongezea hapo afe asife, alishwe sumu au akatwe kichwa ni juu yake mwenyewe
 
"Small minds discuss people, average minds discuss events and GREAT minds discuss IDEAS"
 
Back
Top Bottom