mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,793
- 7,165
Wana Jamvi,
Miaka imebadilika sana waliokuwa wapambanaji wamebadilika kuwa wapiga dili, mwanzo mwa 2005 walikuwa watetezi wa wanyonge zidi ya ufisadi , leo hii tumeshuhudia wengine baada ya kupewa majukumu ya kuongoza umma wakaigeuka umma. Tukianza na Dr. Mwakyembe aliyemtoa manvi anatuhumiwa kuharibu utaratibu wa manunuzi na kuwapa wahuni wakaleta mabehewa feki, Pia CAG nayo imemkalia vibaya baada ya kutumia vyeo vyao kuhujumu serikali bil 250 za barabara na madaraja feki, yeye na Dr. Magufuri.
Tuje Anna kilango huyu amekuwa nyoka wa kuchora wala hakooi baada ya kupewa uwaziri wa Elimu baada ya kutuliza upepo uliotaka kumwondoa wazili mkuu aliyekuwa amekamiwa kuhukumiwa yeye na wana-Escrowa.
Sitta huyo ndio kabisa katuingiza majanga baada ya kukutana na nyoka mwenye makengeza aliyemzidi kete kwenye kuutaka tena Usipika huyu mpiganaji ndiye muasisi wa katiba feki ya Mafisadi.
Tuje na Zitto huyu ndiye yuda aliyetumwa na CCM kuumaliza upinzani , wapinzani wakawa makini wakammaliza yeye.
Hawa wote ukiwajumlisha unampata Asumpta Mshana ambaye yupo tayari kufa kutetea ulaji wake hata kwa kudhuru.