Yale mabehewa chakavu ya Mwakyembe alishayatolea ushahidi? Na kubabuka ngozi chanzo alikuwa nini

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,885
Habari!

Bila shaka nadhani kuna shida kidogo kwa Dr Mwakyembe mara baada ya kuumwa kapoteza kumbukumbu vizuri na kakosa kujiamini baada ya kuumwa na kulishwa yamin kuwa atakuwa waziri ili afiche siri ya yeye kupewa sumu kwenye taulo ya hotelini na wahudumu wa hoteli wote walipotea katika mazingira waliopotea kina Ben Saanane.

Huyu bwana wakati anaumwa alitembelewa na marehemu Sitta na ndio alitoa picha halisi kuwa Mwakyembe ana ngozi kama ya tembo na alisema anajua aliyemwekea hiyo sumu ila akahaidi atakapotoka matibabu india angesema yote na wahusika ila Mwakyembe alivyorudi alikaa kimyaaaa ( the same to Dr. Ulimboka, Roma na nk) walifanyiwa na idara ileee kama kawaida.

Alivyorudi akapewa wizara ndo akafunga domo kabisa ila wazi kuwa sumu ile ilikuwa kufuta ushahidi wa Richmond toka magogoni na waliotekeleza ni jamaa wa miwani nyeusi na wahudumu walikutwa wamekufa katika mazingira tata.

Baadae akapewa tenda la mabehewa chakavu ili kumzima kabisaaaa na kweli alizimwa kabisaaaaaaaa.

Cha ajabu kwa sasa anapindisha ukweli sijui kwa maslai ya nani ila anasahau watanzania walivyomuombea na kumlilia kwa yaliyompata.

Ila hajawai kuelezea vyote either sumu au mabehewa feki yaliyogubikwa na ufisadi akiwa mshiriki mkuu wa wizara ya miundombinu. Mbona hasemi juu ya Lugumi, meremeta, kiwira, Dowans, Epa kwanini Richmond anamaslai gani hasa kwa ccm? Mahakama ya mafisadi ya nini?
 
Ukiwa CCM kujisafisha ni kazi ngumu, Mwakyembe tunaomba maelezo ya kina kuhusu hayo mabehewa hewa. Kiranja wa dili alikuwa nani?
 
Back
Top Bottom